EA Radio imebidi watangaze dau kwa watakao fatilia vipindi vyao hii yote ni kujalibu kuweka usawa na kupunguza makali ya hiyo ishu na kuzuiya wasikilizaji kuhama station
Mmmmgh embu jaribu kukitazama vizuri kile kipindi maana nakikubali pia ukikitazama ni kama unapata Habari muhimu za siku nzima na pia wanafanya kujadili baadhi ya mada ambazo zitafanya upate mtazamo wa upande mwingine
kwa mimi 360 kipo poa kama kile cha kwenye Radio kile cha JAhazi ingawa siku...
Kwa mimi sioni kama ni busara kwa Mr. President kuamua kufanya chochote ambacho kinaweza kuingilia ushindani katika soko maana hata kwa kupiga simu kuta sababisha wapenzi wa vituo mbalimbali vya habari kubadiri vituo wavipendavyo na pia matangazo kuongezeka zaidi sehemu alipojihusisha Mr...
Yaani adi natamani ningekuwa kwenye kitutuli nikiona unaweka tiki kwa rangi ya majani nakutia bonge la kofi kuanzia wew adi kitutuli mnaenda chini alafu nawaambia walio kwenye msitari mwingine aje afanye upumbavu aone .... Maana watu wengi wana kufa kisa hakuna huduma bora za afya alaf wew...

Biblia inasema akuna mamlaka isiyo toka kwa mungu.... Ila hii niionayo inanipa wasiwasi au ni ile ya sauli kugoma kumpisha daudi wakati yeye alipishwa na Mungu. Eeeeegh Mungu embu tuonekanie maana tumekuwa kama mgonjwa alazimishwavyo dawa au sindano kwa tunavyo lazimishwa na kazi tuu akati sis...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.