Recent content by ngamiamzee

  1. ngamiamzee

    Siri za kambi EL zafichuka

    unaweza ukatumika sana bila kujua sasa watu mnapiga kelele bila udhibitisho tuambie kosa moja la lowwasa ,
  2. ngamiamzee

    Rafiki yangu anamtongoza mpenzi wangu

    Huyu ni mpenzi wako na siyo mke wako Hivyo wewe una uhalali wa kumfanyia wako .kwanza nimependa swali uliloulizwa Huyu dada ulimkuta na bikira ?? Kama Hapana basi Huyu wameshachapa wengi sana na usije gombana na rafiki yako kwa sababu ya mwanamke wanawake wamejaa kibao tena wazuri Huyu ni mwogo...
  3. ngamiamzee

    Wasanii wa kike kama uko MP achana na steji jamani (Picha)

    Kwa sasa dada zetu kwa hili kuna jambo la kujifunza
  4. ngamiamzee

    TUGHE: Zitto Kabwe ashtakiwe

    Tughe ni chama ambacho kinaongozwa na viongozi ambao ni mafisi kwani Hawana faida yoyote kwa wafanyia kazi zaidi ya kula na kufanyia ufisadi mkubwa kwa pesa za wanachama kuna ubaya gani kutaja Mashahara wa Rais au pinda acheni kujipendekeza. Mafisi wakubwa mnashindwa kutetea wafanyia kazi...
  5. ngamiamzee

    Kwa nini Shilogile asijiuzulu?

    Huyu kamanda shilogile anasitahili pongezi Kubwa sana kwa jinsi alivyoweza kuwasimamia vijana wake kupambana na gaidi hatari Kama ponda. Ponda ni gaidi la kiislaamu na chama chao cha magaidi cuf wapo nyumbani yake na Huyu ndiye aliyeratibu kuwamwagia tindikali wale watotot Kisstie na Katie Huyu...
  6. ngamiamzee

    Mwakyembe ampa ajira kiaina Bandari mtoto wa Mkuchika

    Napenda kuwakumbusha maneno ya karnal askofu pengo kwa wenye. Kumbu kumbu Miaka Kama Mitano iliyopita aliyasema hayo akiwa kagera namnukuu baba askofu msione. Hawa wanajipambanua kuwa ni wapambanaji wa ufisadi siyo wakweli. Nia Yao ni Madaraka na kugombania kula wala Hawana uchungu na wananchi...
  7. ngamiamzee

    Mwakyembe ampa ajira kiaina Bandari mtoto wa Mkuchika

    Huyu mwakiembe ni kati ya mafisadi wakubwa yeye na Sita samweli aliahidi kuwa wangeisaidia serikali katika Kesi ya rechimond Wako wapi wamewaponza serikali kwa tamaa zao za Madaraka
  8. ngamiamzee

    Mwakyembe ampa ajira kiaina Bandari mtoto wa Mkuchika

    Tatizo Kubwa ambalo watu wengi humu ndani ya mtandao wanalo ni utapimilo wa fikira wakishampenda mtu atakama ananuka basi watamngangania toka mwanzo sisi tunaona Mbali tulisema kuhusu Huyu ndg harson mwakiembe kuwa Huyu ana lolote zaidi ya masilahi yake binafsi na ya familia yake Hakuna mtu...
  9. ngamiamzee

    Polisi wamsaka aliyerekodi mkanda wa video sakata la Lema

    Hawa watu wanaongoza jeshi la polis hivi wanaelimu ya kutosha kwa nini wasimsake aliyeua mwanafunzi wanaangaika na ujinga
  10. ngamiamzee

    Hofu yatanda ujenzi wa bandari Bagamoyo

    s Nabado tutaona mengi zaidi huyu mwakiembe anayejifanyia bigwa wa mikataba mibovu akuona Hilo
  11. ngamiamzee

    CHADEMA tupeni tathmini ya zoezi la kugawa namba ya simu ya Spika na Naibu wake

    naomba number ya anna makinda kwa aliyenae tafadhali nina shida nae sana huyu dada
  12. ngamiamzee

    CHADEMA tupeni tathmini ya zoezi la kugawa namba ya simu ya Spika na Naibu wake

    Lakini hiyo number kama ni ya jina la makinda binafsi hakuna kesi hivyo makinda yeye anatakiwa akashitaki yeye binafsi kama ni jina la spika hapo kuna hoja hivyo je simu ni ya jina la nani.
  13. ngamiamzee

    Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    Kwa sasa tuko Bize na maandalizi ya miaka 36 ya chama cha mapinduzi waache wamalizane tutakuja kuwahamulia baadae
Back
Top Bottom