Recent content by Ngambako

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hali halisi: Maofisini, mahotelini, kwenye mabasi, magulioni wengi nyuso hazina furaha

    Methodology ulotumia lazima isikupe majibu! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye usafiri binafsi kwenda Morogoro

    Imebaki safasi moja swahiba, viti vya nyuma ntakuwa nimebeba mazagazaga; kama utaridhia basi mwache shemeji nitangulie nae, atapata nafasi ya kiti cha mbele kushoto! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    Kiugupi haujui kutongoza
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Kisheria juu ya namna CAG anavyoondoka madarakani

    Mimi naona hapa sharia inasema wazi kabisa kuwa CAG "Shall be eligible* and NOT *May be eligible* So, kumbe sheria ina mtaka Raisi kumuongezea CAG muda wa ziada mpaka pale atakapofikisha miaka 60!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Halmshauri ya Iringa vijijini kuhamia Kalenga, Mh Lukuvi umechemsha

    Sio kweli hili! Pawaga ni moja kati ya business hub ya mazao ya chakula kwa mkoa wa iringa hususani Iringa vijijini! Na nadhani ingekuwa jambo jema sana endapo Makao makuu ya Wilaya yakawekwa pale Pawaga ambako tayaro pameshaonesha upotential!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nani amefanikiwa kupata mafao yake yote NSSF baada ya agizo la Rais?

    Mkuu termination letter ni pale unapoachishwa kazi na mwajiri but endapo mkataba umeisha unapewa Letter of Service
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msaada; Magonjwa haya mawili yanahatarisha afya ya mama yangu

    Bro fuata mawazo mazuri ya wadau; mimi nilimpoteza mama sababu ya pressure; huwa sielewi mpaka Leo hii kilimsibu nini mama yangu mpaka pressure ikampanda asubuhi saa 12 akuwa bado kitandani na baada ya dk chache stroke ikampiga and few hours later umauti ukamfika! Ndugu prwassure ni mbaya sana...
  8. N

    JamiiForums Tanzania THROWBACK IN MEMORIES: Wimbo gani ukisikiliza unakukumbusha tukio fulani

    Sacrife wa Elton John Unanikumbusha namna nilivyokuwa na feelings ngumu za maisha baada ya kuondokewa na wazazi wangu Its not easy Daah Lucky Dube alikuwa ananifariji nikiwa advance baada ya girlfriend wangu kuniacha kwa sababu ya umasikini nilokuwa nao but as I speak yule Dada pamoja na...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri Majina ya kwenye cheti cha ndoa na bima ya afya

    Kwa mfano Jina langu la shule ni shija but la ubatizo ni Shadrach na yote hayo majoina yanaomekana kwenye birth certificate So madhara gani yatatokea
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri Majina ya kwenye cheti cha ndoa na bima ya afya

    Sasa bro haitaathiri majina yaliyopo kwenye vyeti vya shule?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ahadi tata ya Rais Magufuli akifunga kampeni Kirumba 2015 kuhusu Ushuru kwa Wajasiriamali wadogo

    Huyo bro mwenye sharti la kijani na kofia nyuma ya Mh si ndo mlinzi wa Mh pale white house?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Umeme wakatika sehemu kubwa iliyo kwenye Gridi ya Taifa - Juni 06, 2019

    Ebu tulieni huko tunatest SGR bhnaaa Tuipende Nchi Yetu eboo
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina Tsh. Milioni 11 nataka kujenga

    Bro tofari za kuchoma kwa idadi ulotaja hapo juu ni ndogo mno kulingana na ukubwa wa nyumba! Pia mifuko ya saruji 20 bags haitoshi otherwise uniambie atajenga boma kwa tope then bim na nguzo ziwe! Mabati ongeza idadi at least zifike 110 na bei yake inategemea ni bati ya aina gani na yenye...
Back
Top Bottom