Recent content by Ngahekapahi

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

    Rudisha vitu vyake vyoote rudi ulivyokuwa mwanzo then Mwambie kuwa unataka kuolewa umepata mchumba. Sio utake kung'ang'ania mali zake alizokufanyia halafu ujitie umepata mpenzi. Uchague moja tu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hii series haijawahi kunichosha.

    Me too aisee
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hii series haijawahi kunichosha.

    Mimi kuna hii na 24 ya Jack Bauer. Hizi huwa narudia sana kutazama mpaka leo
  4. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Mitsubishi RVR na Outlander

    Wadau nilikuwa naomba kufahamishwa hizi gari aina Mitsubishi kuhusu upatikanaji wa spare, gharama zake generally . Nimetokea kuzipenda Mitsubishi RVR na Outlander. Sasa isije kuwa ndio kama Mazda au Nissan. Maoni please.
  5. N

    JamiiForums Tanzania TMDA: Ukitumia antibiotiki na usipokojoa mkojo wenye harufu, jua hiyo ni bandia

    Nianze kwanza kwa kusema SI KWELI KWAMBA kila Dawa au kila Antibiotic mtu akitumia basi itatoa Harufu ambayo ni noticeable kwenye mkojo. Yapo baadhi ya makundi ya Antibiotics yenye viambata vya Penicillins na Cephalosporins , ambayo hujumuisha dawa kama Amoxicillin, Ampiclox, Cefalexin ...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa mafuta wa Crown v6 2.5l 12km/l

    Mimi huwa naamini kila gari ina watu wake ambao wanaweza imiliki. Kila mtu amiliki gari kulingana na mfuko wake
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya HIV na TB

    Kwa ufupi sana ni hivi. Kwanza lazima uelewe HIVAIDS ni nini. HIV/AIDS inalenga kushambulia na kufumaza kinga ya mwili. So mtu akishakuwa na HIV/ AIDS kinga ya mwili inashuka. Sasa kumbuka kuna vimelea vya magonjwa mengine yanayosababishwa na Bacteria, Fangasi na Virusi huwa mtu anakuwa navyo...
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikimdukua mke wangu sikuti kama ana mchepuko, nisaidieni wakuu

    Unachotafuta utakipata one day.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa mafuta wa Crown v6 2.5l 12km/l

    Mi watu huwa mnanishangaza sana mnapolalamika juu utumiaji wa mafuta. Unapotaka kununua gari nunu gari unaloweza kumudu kulihudumia in terms of Service zake, spare zake, bima , ulaji wa mafuta. Hii kulalamika kuwa gari fulani inakunywa mafuta ni kununua gari ambayo huna uwezo nayo. Watu wana...
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajue wanawake ambao usipotumia Condom inakula kwako

    Labda tu nikusahishe kwamba. Mwanamke yeyote kama hujapima nae na kupata majibu tumia tu condom. Sio hao tu uliosema bali yeyote ambaye hujaina majibu kuhsu afya yake vaa condom.
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pindi mwanaume anapotoa sperm huwa anajihisije?

    Unapiga malaya peku blaza?????
  12. N

    JamiiForums Tanzania TBC inafunga mitambo yake leo usiku, Inakuwa TV ya kwanza na ya kisasa zaidi barani Afrika

    Kwamba inaanza kurusha HD au?
Back
Top Bottom