Hii series haijawahi kunichosha.

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
13,204
13,183
Kwanza ukalakala wa hawa Jamaa, usumbufu wanaoufanya unanifurahisha sana
20211002_130511.jpg
 
Working dead nimeiangalia yote. Kwenye working dead namkubali yule dada mweusi rasta pamoja na Jamaa mmoja anatembelea pikipiki kubwa na mishale
Hujaiangalia yote coz it's still ongoing and it'll be concluded in 2022.
Michonne na Darly ndio wawazungumzia.
But this guy Negan nilimpenda zaidi japo mwanzo nilikua namchukia sana. Buy he's so fun asee...
Glen na Negan are my favorites
Hapo anasema Eenie, meenie, miney, mo,catch, a tige, by,his toe, if......😅😅😅

1633281396985.png
 
Hujaiangalia yote coz it's still ongoing and it'll be concluded in 2022.
Michonne na Darly ndio wawazungumzia.
But this guy Negan nilimpenda zaidi japo mwanzo nilikua namchukia sana. Buy he's so fun asee...
Glen na Negan are my favorites
Hapo anasema Eenie, meenie, miney, mo,catch, a tige, by,his toe, if......

View attachment 1961850
Dah! Nashukur sana mkuu kwa kunijuza ngoja niipakue maana niliishia season 12
 
ITAKUWA SIO MPENZI WA SERIES WEWE HASA ZA AINA ILE
Napanda series mkuu, labda useme sio za mtindo huo.
Ila we mwenyewe umeona, ni kutishiana kudhuru familia tu. Mpaka polisi kuna mda wanatishia kudhuru familia......
Nilipenda season One tu.
Black sails, last kingdom, GOT , Vikings ........hizo hata saiv ukiniambia nirudie narudia.
 
UNAPENDA ZA AINA YA ADVENTURES ITAKUWA ,NI MOJA YA GENRE NAZOPENDA PIA
 
Hapo ndipo alipofeli huyu mwamba.
Kiukweli Jamaa ni mtulivu halafu ana akili mingi mbaya
Akili ki vipi chief,hiyo ni muvi tu hakuna uhalisia hapo,mwenye akili hapo ni mtunzi na mwandishi wa hiyo tamthiria
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom