Recent content by NGAGHE

  1. N

    JamiiForums Tanzania TCRA's Directives to mobile operators

    Dar es Salaam. Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) has directed mobile service providers to adhere to the law when reviewing their tariffs following a recent change of bundles that concerned the public. The regulator also asked the operators to file the tariffs with it before...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Congo linapambana na waasi wa FDLR kutoka Rwanda mkoa wa Kivu Kusini

    Eastern DR Congo has been plagued by violence for years The Democratic Republic of the Congo has launched an attack against Rwandan Hutu rebels in the east of the country. Ministers had previously pledged to target the FDLR militants after they failed to meet a deadline to disarm last...
  3. N

    JamiiForums Tanzania EZEKIEL MAIGE: Mbunge wa Msalala CCM, NAIBU Spika,Hakuwa sahihi kutomsikiliza Mbowe!

    Mbowe hana kosa, yote haya ni ushabiki wa Ndungai na Jenister, hata watoto wadogo wanaliona hilo
  4. N

    JamiiForums Tanzania TUNDU LISU:Muungano wa Tanganyika na Z'bar ULISHAVUNJIKA!

    Mtu anathubutu kusema Tundu Lisu anaropoka, bila shaka atakuwa hajajitambua, anahitaji kukombolewa kifikra,
  5. N

    JamiiForums Tanzania TUNDU LISU:Muungano wa Tanganyika na Z'bar ULISHAVUNJIKA!

    Tundu Lisu pamoja, usiogope kusema ukweli, tupo nyuma yako
  6. N

    JamiiForums Tanzania Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

    Watakaoumia ni wanyarwanda wenyewe,kwani ninachojua hakuna mfanyabiashara anayepata hasara hata siku moja! hivyo kama bidhaa kama zinapelekwa Rwanda bei ya bidhaa zitapanda tu!
  7. N

    JamiiForums Tanzania kwa wale wanao potosha watu kuhusu mishahara ya walimu soma hapa!!

    Hili tangazo liliwekwa hapa JF tangu april! Lilisomwa na kujadiliwa hapa! Inawezekana hukubahatika kuliona,cha msingi waraka mpya wa mshahara unaosemwa umesambazwa kwenye halmashauri uwekwe hapa tuusome! Tusiweke post zisizothibitika!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Sikufanya makosa kumpa kura Mwigulu 2010, na naahidi kumpa tena akigombea 2015!

    asante sana hiroshima! lazima life kabisahili joka!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hoja binafsi ya Mwigulu kuhusu bodi ya Mikopo

    Nimeona TBC sasa jina lake linasomeka MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nape kugombea ubunge Ubungo 2015 aanza kujiimarisha ktk matawi ya CCM

    Labda akagombee kwao iramba mashariki ndo watampa,ubungo asahau kabisa! Babake marehemu Moses Nauye alizaliwa nduguti wilayani iramba mkoani singida ambapo alikuwa anakubalika sana!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    Naomba ushauri wa kitabibu juu ya ugonjwa wa UTI. Mi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28. Kwa miaka miwili sasa nimekuwa nasumbuliwa na ugonjwa huu. Na nimekuwa natumia dawa mbalimbali bila mafanikio. Naomba ushauri wenu!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nkhambaku msaliti chadema singida magharibi(2010) naye auukwaa ukuu wa wilaya

    Wilson Elisha Nkhambaku ameteuliwa na JK kuwa mkuu wa wilaya ya kishapu na jina lake ni la 62 kwenye orodha ya wakuu wa wilaya.Kijana huyu mwenye umri wa miaka 37 alishinda kura za maoni kupitia CCM nakupata kura 3499 dhidi ya mbunge wa sasa Mohamed Missanga aliyepata 3433 lakini akaenguliwa na...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Sherehe za Mei Mosi Tanga, JK mgeni rasmi

    siku ya wafanyakazi,bendera za CCM za nini uwanjani? Au kuna chama cha wafanyakazi wa CCM kinawakilisha? Siku ya leo kwa maoni yangu ilitakiwa isiwe na itikadi kwani kuna baadhi ya wafanyakazi ni wanachama wa vyama vingine vya siasa.
  14. N

    JamiiForums Tanzania LIVE ON Star TV: Kwanini Uwajibikaji kwa Viongozi si suala hiyari?

    yahya! Nchi inahitaji overhaul ya system nzima, hakuna mtu mmoja ambae tunaweza kumhold responsible kwasababu pesa inapita kwenye mikono mingi sana "sign nyingi sana mpaka pesa kufika kwenye kazi husika"
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wanaohama kwenye vyama wapokelewe kwa tahadhari

    Wana jf,sina imani na ujio wa James Ole Millya CDM. Anaweza kupandikizwa na magamba ndani ya CDM baadaye aje asaidie kuisambaratisha CDM kama walivyoifanya NCCR-MAGEUZI baada ya uchaguzi wa 1995 na kupelekea Mrema kukimbilia TLP baada ya kupandikiziwa mamluki.Wanajanvi mnasemeaje hili?
Back
Top Bottom