inaonekana mtoa post unasumbuliwa na uchama na ukada wa chama chako kwa sababu kama hoja ni kuteuliwa wapo viongozi wengi katika taasisi nyingine za serikali wanateuliwa lakini wanatekeleza majukumu yao kama sheria zanavyowataka mfano majaji na mara nyingi tumeshuhudia kwenye kesi nyingi...
huwezi kufungua mashitaka yanayohusu uchaguzi chini ya sheria za takwimu kwa sababu kama tatizo ni matokeo ya uchaguzi yanatofautiana utafungua mashitaka ya uchaguzi.
kinachofanyika wakati wa kutangaza matokeo ni kwamba kura zikishahesabiwa na kujumlishwa hujazwa kwenye fomu ya matokeo ambayo...
Baada ya kufuatilia siasa kwa miaka kadhaa hasa siasa za vyama vya upinzani ikiwemo ushiriki wa vyama hivyo kwenye chaguzi ndogo zilizofanyika katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, nimegundua mambo kadhaa ambayo ningependa kuvishauri vyama hivyo hasa chama kikuu cha upinzani (Chadema)...
Hiki kituo ni bora kifutwe na uyo kaimu mkurugenzi afikishwe mahakamani akathibitishe huo uongo alioutangaza maana kuwavumilia watu na vituo kama hiki watakuja kutuingiza watanzania kwenye vita kwa maneno ya kutunga ya uongo
bother unapozungumza tumia akili walau kidogo, kumbuka kila nyumba ina miongozo yake usifananishe na unapoishi ww kama dini yako inaruhusu kila kitu dini kile ni chuo cha waislamu wala miongozo yao, so heshimu taratibu walizojiwekea watu kulinga na dini zao.
ukitaka kugombea ni lazima ufuate sheria na kanuni na kujitoa ni hivyo hivyo, sasa mgombea alichanganyikiwa baada ya kupokea simu ya Mbowe akitakiwa ajitoe akaandika barua bila kuzingatia Sheria.Hata Tume imesema haina kikwazo kama atafuata sheria
hayo maamuzi ya kufanya mabadiliko mlifanya huko kwenye chama chenu na kila kijana aliingia kwenye sanduku la kura na kuamua kumchagua anayemtaka, uamuzi uliofanya ww sio sawa na vijana wengine
sasa uchaguzi upo kwenye kata yako we unaenda kufanya kampeni kata nyingine hao wapiga kura wa kata nyingine watamchagua uyo mgombea wa kata yako? use common sense
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.