NEC wapiga marufuku siasa kwenye kampeni za madiwani

hawa NEC ni wapuuzi sana mbona mgombea urais kwa tiketi ya CCM alikuwa anafanya mazoezi ya kupiga pushapu kwenye majukwaa ya kampeni wakati wa uchaguzi mkuu na mkaa kimya?....acheni double standards NEC-CCM1
hahahahaha! umeifanya siku yangu iwe bora.jamaa alipiga pushups bila kuruhusiwa na tume
 
Duh......RIP Chama cha Mapinduzi

Weshaanza kueeeeseka baada ya kuona unavyokwrnda!

Hivi hao NEC ya CCM wanaweza kutuonyesha kipengele kwenye Katiba yetu inayoonyesha kipengele hicho??

Bila shaka hayo ni maagizo toka juu!
ukitaka kila kitu kioneshwe kwenye katiba ingekuwa sio katiba hii tunayoibeba mifukoni
 
Vp kuhusu band kwny kampeni mana atuelewi fiesta tutamuangaliaje kwa hela alaf kweny kampen bure
 
Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC imesema imesema ni marufuku kufanya mikutano ya siasa Kwenye kampen za uchaguzi wa madiwani zinazoendelea nchini hivi sasa

NEC imesema chama ni ruhusa kumnadi mgombea wake akiwa katika kata anayogombea na ni marufuku kufanya kampeni katika Kata isiyohusika hata kama ni jirani.

NEC imesema katika chama hakitaruhisiwa kuzungumza mambo yaliyonje na kampeni

Chanzo: Star Tv Habari
Kwan nn maana ya CHAMA CHA SIASA????
 
Mkurugenzi wa Uchaguzi- NEC Kailima Ramadhani amesisitiza kuwa NEC haijavifunga mdomo vyama vya Siasa kwenye kampeni zinazoendelea za Uchaguzi mdogo! Zaidi msikilize hapa



SOURCE: NEC ONLINE TV - TANZANIA
 
Back
Top Bottom