Msiwe na hofu Makamanda, ata-recover very soon. Kumbukeni kwamba Mbowe ni chombo cha Mungu anachokitumia kwajili ya kuikomboa Tanzania. Hivyo, kama mwanadamu, mwenye mwili, kuugua ni kitu cha kawaida; mkizingatia hajasinzia vizuri tangu Mweshimiwa na Mtumishi wa Mungu Edward Lowassa kujiunga na...