Recent content by ngaboru

  1. ngaboru

    Mtu Aliyenusurika Mabomu Mawili ya Atomiki japani

    Wajapan walikua makatili hatari yaaani na nyuklia kushushwa waliendelea kukinukisha. NB Nilikua najua yaliachiwa kwa pamoja.
  2. ngaboru

    PostGE2025 Ujumbe wa Rais Samia kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru Desemba 9, 2025

    Hapa ndio nimepata logic ya Tanzania bara...heheeeeeee na badooo
  3. ngaboru

    Dark days 17/03/20

    Heheeeee
  4. ngaboru

    PostGE2025 Kama haujapata wasaa wa kumsikiliza jamaa anaitwa Habili aise unapitwa sana. Baada ya Polepole kupotezwa huyu jamaa ni substitute Matata sana

    Sio ajabu kikao kikianzaa wanahakikisha lisu hafungui mdomo maana hawashindwiii wanambinu sanaa hahhahahahahqhqhq
  5. ngaboru

    PostGE2025 Kesi ya Viongozi wa CHADEMA kuidharau amri ya Mahakama yatupiliwa mbali

    Mambo mengi wako busy sanaaa haahhahahahahahhqhq mwisho wa siku Mtoto Tundu wanamshuhudia akihutubia wananchi bila wao kujua katokaje.
  6. ngaboru

    PostGE2025 Rasmi, Bunge la Ulaya lapiga kura zote 539 za NDIYO kuzuia misaada Tanzania, wahusika wa kadhia ya Oktoba 29 kuwekewa vikwazo

    Tunapenda mashindano ya kijinga imagine raisi anashindana na mange yaaani kaikizalilisha kiti hatari.
  7. ngaboru

    PostGE2025 Rasmi, Bunge la Ulaya lapiga kura zote 539 za NDIYO kuzuia misaada Tanzania, wahusika wa kadhia ya Oktoba 29 kuwekewa vikwazo

    Yaaaani sijui tumetoka wap na hili tutusaaa tukikomboa nchi mtu atakaekaaa kile kiti kikuuu awe ana vinasaba na tanganyika. Anajiweza yule mwanamke m hapa tuu naweweseka hivyoo au sio mtuu ukute n jini makata.
  8. ngaboru

    PostGE2025 Rasmi, Bunge la Ulaya lapiga kura zote 539 za NDIYO kuzuia misaada Tanzania, wahusika wa kadhia ya Oktoba 29 kuwekewa vikwazo

    Hakuna Mungu kama ww bwanaaa aaaaa aaaa...... Hakuna Mungu kama ww bwanaa aaaaa aaaaaa Wa neeemaaa....... Kiburi kinamtokea puani mazafanta mbwaaa mja laaaanaa na badoo ni msumari juu ya msumari.
  9. ngaboru

    PostGE2025 Rasmi, Bunge la Ulaya lapiga kura zote 539 za NDIYO kuzuia misaada Tanzania, wahusika wa kadhia ya Oktoba 29 kuwekewa vikwazo

    MO29 upande wa nywi nywi nywi unavipengele vingi mpaka sasa vilivyo bayana:- 1-ICC(nje) 2-Hakuna misaada(nje) 3-Maandamano Dec 9(ndani) Upeo wangu umeishia hapa ila mama anakipengele sio mchezo sijui atamuita GOAT Ronaldo aje kuvipangua.
  10. ngaboru

    Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe, kinyume na hapo atalipa kisasi

    Isije kua n drama ya kuandaa kwamba wananchi wanasiliha, Mungu wa mababu zetu naomba utulinde.
  11. ngaboru

    PostGE2025 VIDEO: Huyu mrembo naye alihusika kuua ndugu zetu Oktoba 29

    🤣🤣🤣itakua ndio stelingi wao ajiandae mabosi zake lazima wamnye supu kaonekana sanaaaa,Ndio utamu wa misheni haramu hauli hela ukamaliza mkndu wahedi.
Back
Top Bottom