Hivi ww kichwani kwako zimo kweli? Ama zimekubana?
Mara 2005hakumuunga mkono Pro Mwandosya mara mwaka huohuo alimuunga mkono mtandao wake ulishindwa!!!!??? Tuelewe nini? Acha Ubwege binti!!!
Lini nyota ya jk iling'ara? Km nyota inang'ara kwann mitandao plus fedha?
Kajipange upya .
Kati ya vituo vya televisheni nicvyopenda kuangalia kwa kuona vimekosa viwango ni Star TV.
Star TV kuanzia waandishi wake; vipindi vinavyoandaliwa ni matatizo matupu utadhani hata waandishi wake ni jamii fulani ya mikoa ya kanda hiyo!!!!
Ni heri TBC pamoja na ukada wake ina unafuu kuliko star tv...
Hazikutoshi zinakubana tupe taarifa ya utafiti wako :
Ukituambia vigezo vilivyotumika; idadi ya watu uliowahoji; nafasi zao ktk jamii; mahali wanapotoka n.k
Unadhani ukisema "utafiti nilioufanya" basi inakuwa umefanya utafiti?
We ----- kweli
Mnyarwanda kwa kigezo gani? Acheni ubaguzi mkiona mnaambiwa ukweli!!!
Uraia wa Tz upo wa aina ngapi? Mbona hamsemi wakina Rage? Hizo tabia zenu kama za yule chinga aliemrithi mzee Ruksa hatuzitaki!
Jibuni hoja na c kuuliza uraia wa mtu!
Ulimwengu kisha wabwagia ukweli, jitu zima na akili zake...
Hayo yanaingiaje?
Nani anatope kati yako na mtoa Uzi?
Pamoja na yote aliyoongelea mtoa Uzi amehitimisha kwa kushauri Palestina na Israel ziombewe zipate amani!
Unapoingiza mambo ya fungu la kumi, Mara Yesu yanahuckaje hapo?
Umeona kwenye thread amatajwa Mtume Muhammad (S.A.W)?
Huoni km wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.