Recent content by ng`wana ong`wa kulwa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume fanyeni Kazi yenu vyema Vitandani kwani Wanawake wenu wakiwa wanawasaliti kwa Wasimamia Ukucha huwa wanawadhalilisha sana!

    Pole sana hujawajua tu kuwa wanawake ni waongo sana kitandani anaweza akapiga yowe kama bikira eti unaniumiza kumbe kungwi wa mapenzi. pole sana umedanganyika
  2. N

    JamiiForums Tanzania Clouds Media kuendesha shindano la DC bora, RC bora na Waziri bora. Washindi 5 wa kwanza kuzawadaiwa!

    Naona follower wa facebook,insta.ndo wapiga kura Jokate anaongoza kwa lipi alilofanya?kura hii ni upuuzi mtupu. Maana wananchi wa kawaida wako bussy na mashamba hawana muda wa kuchezea, wapiga kura ndo hao wanashinda mtandaoni.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mashinji: Mbowe hahusiki na matumizi mabaya ya fedha za CHADEMA

    Aeleze pesa zinatumikaje siyo maneno mepesi.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kumwambia mpenzi wangu ' Nipo nawe kwa muda tu sitakuoa" ni kosa au ukwel umuweka mtu huru..

    Umeshamharibu mtoto wa watu eti hutamuoa! Kwa nini ulimtaka?ukimuacha utalaaniwa wewe muoe tu ndo salama yako.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Sitaki tena wanawake kutoka Tanga.

    Toba itakuwa ulilala na jini wewe
  6. N

    JamiiForums Tanzania Sababu za Rais aongezwe Miaka 7 ni Sahihi na Asigombee kipindi kingine

    Ni miaka 7,kila kipindi vipindi viwili apige 14yrs kama vipi atawale maisha tu, maana tunaogopa atakayeachiwa asije akaturudisha Misri.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku yangu ya furaha duniani ninajihisi kupaa maana hatimaye nimepata joto lake

    Kapime na ngoma hapo ndo utajua ilikuwa furaha au majuto.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa kuna mapambano ndani ya CCM kati ya CCM asilia na CCM akademia

    H Hajazaliwa wa kukinukisha chini ya Magufuli mtasubiri sana
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 ipigwe kura ya maoni, Rais Magufuli aruhusiwe akae hadi 2035

    Hata ndani ya CCM hakuna aendelee tu mbona Rwanda wanafanya
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kifaa hicho nilikipata kwenye dating site

    Angalia isije likawa jini
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

    Walisema polisi ndo wasemaji Au January anajua alikokuwa?
  12. N

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yawakamata aliyekuwa makamu wa rais wa kampuni ya Acacia, Deo Mwanyika na Alex Lugendo

    Alishindwa hata kutetea maslahi ya wafanyakazi yeye na wazungu wakilipwa mishahara ya kufuru! sawa kila jambo na mwusho wake
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo tofauti kati ya mke wangu na mchepuko wangu

    tatizo lako unalinganisha uhalisia na bongo movie. Ndani ya dakika mbili mkeo asikuulize wakati ndo anaanza kujiandaa kumwona Bwana. Mchepuko unauwezo wa kukata kiuno kama feni kwa sababu ya malipo baada ya kazi.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kanda ipi inaongoza kuwa na viongozi wa juu Serikalini?

    Uongo ungetuambia kuwa haya makabila yalipata elimu mapema kutokana na misioni za dini kuwekeza kwenye elimu maeneo hayo,
Back
Top Bottom