Recent content by neysima

  1. neysima

    JamiiForums Tanzania Tupeane Uzoefu: Biashara gani ilikushinda?

    ahhahhahahaah
  2. neysima

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kutunza akiba

    umenisaidia sana aisee asante sana mkuuu
  3. neysima

    JamiiForums Tanzania Msaada: Huyu ni tapeli au sio wakuu?

    hahahahahah
  4. neysima

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chapati kwa kutumia majiko makubwa

    Kwakwl hii biashara ni nzuri sana ukipata eneo lenye mzunguko wa watu
  5. neysima

    JamiiForums Tanzania Natafuta jiko la kukodi kwa ajili ya mgahawa/bar -Dar es salaam

    HR CONSULTANT, Dar maeneo gani
  6. neysima

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo za ndani za kike (underwears)

    Kuhusu mtaji inafutana na mahli ulipo kuna watu wanaanza na mtaji ata wa laki lkn mtu anapiga ela unaweza kwenda kkoo na lak moja ukaja na chupi kibao au kidogo kitu cha kwanza unachotakiwa kujua ni lazma ujue unafungua biashara sehemu yenye watu wa aina gani maana kuna chupi za kila aina kuna...
  7. neysima

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo za ndani za kike (underwears)

    Hii biashara ni nzuri sana kama eneo unapotaka kuweka kuna biashara pia ni biashara yenye faida ndogo sana lakn kama unaweza kuuza chupi kuanzia dozen tano na kuendelea unapiga ela mm nafanya biashara hii ni mwaka sasa lakn nilipo ni sehem ambyo haina mzunguko kivile lakn napambana sana, aliye...
  8. neysima

    JamiiForums Tanzania Tulioingia kwenye kilimo tukaangukia pua tukutane hapa

    Hiyo ndo safi
  9. neysima

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua machache kuhusu biashara ya Chupa za Plastiki zilizotumika

    1. Bei ya machine inacheza kwenye milion 8-milion 16 zinapatkina kwa wachina wenyewe au unaweza kuagiza nje, SIDO wanauza lakn Visu vyake sio imara zinawah kuharibika, umeme ata single 2. upatikanaji wa chupa wanaokuletea ni vijana sana sana ni mateja, unafungua kijiwe wenyewe wanakuwa...
  10. neysima

    JamiiForums Tanzania Wadau msaada wenu maisha yamenikomalia natamani nipate kazi kupitia hii elimu yanngu

    anakosa laki tano kulipa deni iyo laki nane atapata wap
  11. neysima

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    hahhahhahha jaman maisha haya, baada ya kulewa nini kilifata
  12. neysima

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    hahahhhhahahahhaha uyo atakuwa wale wazee wa mjini
  13. neysima

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji njoo tufanye biashara

    Nina uzoefu na biashara ya chupa za plastic nichek 0625614751
Back
Top Bottom