Wadau msaada wenu maisha yamenikomalia natamani nipate kazi kupitia hii elimu yanngu

Habari, pole sana kwa changamoto za maisha. Ujuzi wako katika lugha ya kiarabu ni wa ngazi gani? Unaanza, wa kati, au umebobea kiwango cha juu? kati ya 1 mpaka 10 ujuzi wako wa kuongea unaweza kuupa namba ngapi? Na wa kuandika unaweza kuupa namba ngapi?
Na mwisho kiwango kiwango chako cha elimu kinafika kidato cha nne?
Majibu

Kwa lugha ya kiarabu Niko ngazi ya juu

Kwa sifa kuu 2
Lahja nayo itumia
Pia uzoefu wa kuongea mara kwa mara

Kati ya 1-10 ujuzi wangu wa kuongea ni 7-8

Katika upnde wa kuandika kwa sifa zote za uandishi nachukua No 10

Ndio kiongz kidato cha 4 nimefka
 
Pole sana kuna watu wanamataizo zaidi yako ndugu yangu chakufanya nikutafuta biashara za kufanya kazi zimekua ngumu sana kupata ukiwa na mtaji wa 800,000 tu unapa baiskeli za mtumba pcs 12 unauza laki 120,0000 kila moja kama uko mkoani kunawatumiaji wengi utatoka kama uko miji bado unaweza kuuza basikeli za watoto mijini zinauzika sana ila kwa msada wa pesa sidhani kila mtu anamatatizo ya pesa.
Asante mkuu kwa wazo zur bahati mbaya now laki nane labda niuze figo ndo naweza pata hahahah
 
Nakushauri kazibe nafasi ya mama aliyokuwa anaifanya, sababu kwa maelezo yako mama alikuwa na genge na ndio alikuwa anaendesha familia ila kwa sasa anaumwa yupo hosp,
Sasa kwa nini wewe usiende kuendelea na genge lililokuwa linaendesha maisha hapo home?
Maisha yamebana kila kona, tulia gengeni dogo.
Alamsiki.
Gengen washaaziba nafasi watu toka mama adhoofke watu wengne washalikaba gep
 
jileezee,

Unaandika kwa ufasaha sana kiasi kwamba sio rahisi kusema wewe ni mtu mwenye elimu ndogo kama unavyojinasibu hapa jamvini.
Haidhuru, nakutakia kheri katika maisha yako.
Mkuu hiii course pekee niliojifunza ili nifanya niwe mfasaha wa ulimi km ujuavyo Ni lugha ambayo ime base katka viini km vya kiashairi hiv so na me hapo ndipo nilijikuta japo Nina uwezo wa kujieleza hvi
 
Pole sana kuna watu wanamataizo zaidi yako ndugu yangu chakufanya nikutafuta biashara za kufanya kazi zimekua ngumu sana kupata ukiwa na mtaji wa 800,000 tu unapa baiskeli za mtumba pcs 12 unauza laki 120,0000 kila moja kama uko mkoani kunawatumiaji wengi utatoka kama uko miji bado unaweza kuuza basikeli za watoto mijini zinauzika sana ila kwa msada wa pesa sidhani kila mtu anamatatizo ya pesa.
Hivi kwa laki nane uloonambia naweza anzisha duka la uuzaji wa vifaa vya umeme kama laptop na cm vya mtumba

Na km Ni ndio naweza anza na mzigo kiasi gani ?

Na Kama hapana naweza anza na mtaji wa kiasi gani?
 
Atumie kuwapiga.
Wakina mama hawachomoi hapo tena kama anaflow kiarabu bila kukwama.
Mtu kama umeshindwa kutoa msaada ni heri tu ukanyamaza.

Kwa sababu kujua Arabic ni sawa na unavyojua kiswahili au kiingereza hakuna uhusiano wowote na kufanya dua.

Kuwa makini na maneno yako kiongozi sio mazuri hata kidogo
 
Awapige tu kwani watajua kutofautisha.
Hata waarabu waliomsilimisha Mkwawa ndiyo hao hao aliobadilishana nao shanga na watumwa. Ni muda na sisi dini zitunufaishe economically
 
Kaka pole sana ungekuwa mkoa wa mwwnza ningekufanyia mcuakato wa kazi katika kiwwnda cha nyama cha alpha choice group ,

Menenger ni rafiki yangu sana na huwa naenda kufanya kazi za temporary hasa za I.T ,PALE !! INGEKUWA VIZURI UKAFANYA KAZI KWA MUDA UKAPATA MTAJI UKARUDI KUWASAIDIA WAZAZI

ILA KWA SASA MZIGO ULIONAO NI MKUBWA SANA ILA MWAMINI MUNGU YUPO ANAKUPITISHA NA ANAKUANDAAA
 
Pole sana kuna watu wanamataizo zaidi yako ndugu yangu chakufanya nikutafuta biashara za kufanya kazi zimekua ngumu sana kupata ukiwa na mtaji wa 800,000 tu unapa baiskeli za mtumba pcs 12 unauza laki 120,0000 kila moja kama uko mkoani kunawatumiaji wengi utatoka kama uko miji bado unaweza kuuza basikeli za watoto mijini zinauzika sana ila kwa msada wa pesa sidhani kila mtu anamatatizo ya pesa.
anakosa laki tano kulipa deni iyo laki nane atapata wap
 
Mtu kama umeshindwa kutoa msaada ni heri tu ukanyamaza.

Kwa sababu kujua Arabic ni sawa na unavyojua kiswahili au kiingereza hakuna uhusiano wowote na kufanya dua.

Kuwa makini na maneno yako kiongozi sio mazuri hata kidogo
teh teh teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom