Nahisi wanaita kwa awamu kwasababu ya udogo wa eneo tukiitwa wote kwa siku moja tutajaa sana ofice za watu hlf kunakua na kama fujo hivi labla ndio maana wanaita kwa grup ila nina amin wale wote waliorepot mwaka jana lazima wataitwa tu
Habari wadau, naomba kufahamishwa utaratibu wa kukodi kiwanja mnazi mmoja opposite na peacock kwa matumiz binafsi kwa maana ya kwamba sio maonesho ya serikali. Ningependa kujua gharama zipoje na taratibu zake... asante
Yan haya majanga na mimi yyamenikuta, AG aamekuwa kimya sana hata mahakama pia zile nafasi za hakimu mkazi wametuacha tu pending hakuna kituo sijui shida ni nin
Jaman wakiita watu wachache oooh wanabebana wakiita wote wenye vigezo wanatuonea, hebu wapeni ushauri wafanye nin itasaidia kidogo kuliko kulalamika laiti ukifanikiwa pata hiyo kazi utaona walikua sahihi kukuita interview ila ukikosa lazima ulalamike
mh me siamini kwa sababu mimi pia nimepata barua kuitwa kazin kwa AG na nakuhakikishia simjui mtu wala sikutoa hela tena intavyu niliingia wa kwanza katika panel yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.