Pesa mwanaharam baada ya kuwanunua viongoz akwepo lipumba na slaa, wasanii, vituo vya utafiti sasa ni zamu ya viongoz wa dini! Kwel punda kifoni, tutaona mengi!
Hivi leo ccm mmefikia hatua ya kuwa wadanganyifu kias hiki, meamua kujtekenya na kucheka wenyewe. huyo mnaemwita mwenez mkoa wa mtwara alikua ni katbu mwenez chadema kata ya reli, alivuliwa uongoz baada ya kujaribu kuwashawishi baadhi ya wanachama kwa kununua kad za chadema ili awape ccm ili...
Mh dr. Slaa message imefika watanzania wamekuelewa tafadhar tugange yajayo, tuanze upya mahitaji na matamanio ya wananchi ni msingi mkuu katika uongoz na ili kutimiza kiu au matamanio hayo ni lazma tuwe wamoja kuliko kutengana! Dr. historia ya nchi hii katu haitokuacha kando bali itakuenz kama...
Siku yang itakua njema sana!! coz tunahitaj kuwa wamoja kuliko wakati wowote ule, huu ni wakat ambao taifa linakwenda kupata uhuru na ukombozi!! Mungu akujalie Dr Slaa uone na kutambua fursa hii admu ambayo wanamageuz tumeipata ya kuivusha nchi yetu kuelekea Tanzania tunayoitaka.
Ngoja tusikilizie kikao cha kamat kuu na mkutano mkuu, kama hatoudhuria tutajua kwel anamaanisha, lasivyo ni mkakat tu wakuipukutisha ccm cku atakapojitokeza hadharan na kukanusha huo uvumi!
Dr toa neno kuokoa nafsi zinazoumia kwa ukimya wako, ukmya wako unasurubu nafs za watz walioteseka na mfumo mbovu wa ccm! tazama nyuma, tazama tulipo na tazama tuendako. Maadui wanashangilia wakjua ukmya wako ni siraha kwao. Toa Neno Dr wa2 wako tupone, taifa lako lipone, toa neno dr Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.