Aliyekuwa Meya Arusha atimkia CHADEMA

Aliyekuwa Meya Arusha atimkia CHADEMA

duh aliye waroga ccm amekufa ccm haiwezi pona tena!!
 
Km huo ndo mpango, umoja wa kitaifa hatarinı.Sitakı kusema kanda ya Ziwa,Magharibi,Kati Masharıki pamoja na Kusıni washikamane.
 
bado dhoruba linakuja kuiangusha ccm, tujpe subira!! Mungu akpanga nan wakupinga??
 
si tuliambiwa kuwa arusha hakuna c.c.m... sasa huyo ametoka chama gani tena diwani?? tuongee na kuweka akiba ya maneno ndugu zangu

Asiyejua maana haambiwi maana: pakacha la CCM limetoboka sasa linavuja kwa kwenda mbele!
 
CCM wanategemea kura za kanda ya Magharibi kwakuwa kanda Ina watu wengi sana takriban Mil. 10....!
Hii ni propaganda za ukabila na ni hatari sana kwa Chama kilichokaa madarakani miaka 54 kimeshindwa kujenga umoja wa kitaifa .... kipewe Nini zaidi ilitaifa liondokane na ukabila zaidi ya kuondolewa madarakani.... kimeshindwa na hakitaweza kuulinda umoja wetu....!
 
Si wanasema kuondoka kwa Lowassa hakutawatikisa? na bado! hiyo ni rasha rasha tu bado mvua yenyewe.......Makufuli Tunavunja na pombe Tunamwaga...

Hahahaaaa kweli kaka hata Kama umekasirika lazima ucheke kwa maneno uliotumia umewachoma
 
mheshimiwa rais wa makamanda wa jamhuri ya watu wa Arusha..naomba usifanye kampeni Arusha Bali kaamshe walio lala kimabadiliko huko kwingine.Arachuga hakuna magamba wala upinzani tena.watu wamechoka na masisiemu.wamebaki makamanda tu.jamhuri ilishakombolewa hii.Asante.
 
Na bado ngoja wamalizane kwenye kura za maoni ubunge na udiwani
 
attachment.php


Masikini Kikwete...!
CCM - Chama Chamfia Mkononi!
 
Back
Top Bottom