Recent content by NEWSINKP

  1. N

    JamiiForums Tanzania NSSF ifanyiwe ukaguzi wa uhakika kimaadili na kiutendaji

    Wewe hyo yako haina longolongo we anza kujiwekea kaka. Hyo unalipwa wakati wowote. Ila kama mimi ningekua wewe ni bora ninunue shares kwenye makampuni mfano NMB ambapo utapata dividend na pia unaweza kuziuza kwa bei nzuri baadae kuliko nssf.
  2. N

    JamiiForums Tanzania NSSF ifanyiwe ukaguzi wa uhakika kimaadili na kiutendaji

    Inategemea kama michango yako iko vizuri ni ndani ya mwezi tuu unalipwa mafao yako.
  3. N

    JamiiForums Tanzania NSSF ifanyiwe ukaguzi wa uhakika kimaadili na kiutendaji

    Unawezaje kumzungusha mtu kwa delays zinazohusisha wafanyakazi wa ndani(wa nssf) na wakati mtu ametimiza kila taratibu za kisheria. Tuweni serious tuache kutetea uzembe. Mfano kuna waajiri hawapeleki michango ya wafanyakazi wao mpaka miaka 2 halafu hapo utasema kuna utendaji lazi? Ukizingatia...
  4. N

    JamiiForums Tanzania NSSF ifanyiwe ukaguzi wa uhakika kimaadili na kiutendaji

    Mkuu soma tena mada uielewe hakuna sehemu imeongelea kua hainufaishi, issue ni huduma. Please read between the lines
  5. N

    JamiiForums Tanzania NSSF ifanyiwe ukaguzi wa uhakika kimaadili na kiutendaji

    Kajiunge tuu mkuu ila lazima tuseme ukweli NSSF kuna branch zina watu wazuri ila nyingi zina shida kubwa mnoo, mi nina zaidi ya miaka kumi huko
  6. N

    JamiiForums Tanzania NSSF ifanyiwe ukaguzi wa uhakika kimaadili na kiutendaji

    Habari wana JF! Ndugu zangu ninawaomba kila mmoja kwa wakati wake akiweza apite kwenye tawi lolote la NSSF nchini atake kupatiwa huduma yeyote ajionee jinsi pesa za walipa kodi zinavyotumika kulipa wapiga stori wanaojiita wafanyakazi. Nimewahi kufika tawi la Arusha mjini kwenye kitengo cha...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wafanyakazi wa viwandani iwe lazima kisheria

    Habari wana JF! Ndugu zangu nimefanya kazi katika baadhi ya viwanda mkoa wa Pwani nimegundua wapo Watanzania wanafanyakazi maeneo hatarishi sana. Ndugu zangu kama mnavyojua viwandani kuna kemikali na emissions nyingi mno. Ingawa kwenye sheria zetu kuna taratibu nyingi zimewekwa kwa ajili ya...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Media zetu igeni mfano wa media za Kenya

    Habari wana JF! Nimekua nikifuatilia media za Kenya expecially TV stations Citizen TV nikajifunza kua media za Kenya zina uzalendo mkubwa sana. Mfano kama kuna issue ya kitaifa hua wanafanya a national conversation, wanapeleka watangazaji kila pande ya nchi yao halafu watu wanatoa michango yao...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi kuchelewa kwa matokeo ya TRA kunavyochelewesha utumishi kuita interview kwa fani za uhasibu na Manunuzi kwa MDAs na LGAs

    Sasa ndugu yangu kila siku taasisi zinaboresha. Hata kwa ufahamu wako tuu huoni kwamba mtu mmoja kuchaguliwa posts zaidi ya moja tena zote serikalini ni lack of seriousness na pia ni matumizi mabaya ya fedha za umma kuendesha usahili hovyo hovyo kiasi hicho. Na Rais aliwahi kusema mifumo ya...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi kuchelewa kwa matokeo ya TRA kunavyochelewesha utumishi kuita interview kwa fani za uhasibu na Manunuzi kwa MDAs na LGAs

    Hahahaa bro ni vizuri sana kama ungeiweka sawa coz kuna mtu alitaka kujua. Ila hicho nlichokiandika ndo sahihi kasome Public Procurement utaikuta.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi kuchelewa kwa matokeo ya TRA kunavyochelewesha utumishi kuita interview kwa fani za uhasibu na Manunuzi kwa MDAs na LGAs

    MDAs- Ministries and Independent Departments Authorities. LGAs- Local Government Authorities.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zimefanya TRA kuajiri wenyewe badala ya Utumishi?

    TRA wanataka kujifanya professionals sana, kumbe hakuna lolote.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi kuchelewa kwa matokeo ya TRA kunavyochelewesha utumishi kuita interview kwa fani za uhasibu na Manunuzi kwa MDAs na LGAs

    Habari wana JF! Kama mnakumbuka mwezi July 2023 utumishi walitoa nafasi za ajira kwa kada mbalimbali zikiwemo za uhasibu na manunuzi kwa MDAs na LGAs. Mwezi huu tarehe 4 kuna kada waliitwa interview isipokua uhasibu na manunuzi, na sababu inasemekana wanasubiri TRA wamalize mchakato ili...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nmeingia sijaona ndo maana nimeomba, wacha niingie tena
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Boss ebu share hyo pdf tuone mkuu
Back
Top Bottom