Recent content by newjeo5777

  1. newjeo5777

    JamiiForums Tanzania Comment jina la Movie Ambayo unaisubiria Sana Season au Episode Yake Inayofwata

    The shannara chronicles ilikuwa terminated.. Mkuu
  2. newjeo5777

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaosema Mwakinyo ana dharau na kejeli, pitieni interview hii ya Mike Tyson mtajifunza kitu kuhusu Boxing

    Kwa mimi nadhan mwakinyo anamuogopa sana.. Twaha kiduku.. Ila anachoogopa zaid ni kupoteza title mapema.. Mnoo. Ila tu uwezo wa twaha ni unstopable.. . Show show... Ezy...
  3. newjeo5777

    JamiiForums Tanzania Comment jina la Movie Ambayo unaisubiria Sana Season au Episode Yake Inayofwata

    Chapter IV.... Af kuna mzigo mmoja wa 007 .. "No time to die"
  4. newjeo5777

    JamiiForums Tanzania Comment jina la Movie Ambayo unaisubiria Sana Season au Episode Yake Inayofwata

    Last kingdom season 5..
  5. newjeo5777

    JamiiForums Tanzania Mbali na kushobokewa na wasichana wengi, ma-HB tunapitia wakati mgumu kuwapata tunaowapenda

    Bado hujatembea kumbe, Utaona maana najua kusikia umesikia ila unajifanya kichwa ngumu..
  6. newjeo5777

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

    Yuko uhamishoni kwanza..
  7. newjeo5777

    JamiiForums Tanzania Kinachoponza Vyama vya Upinzani kutochukua Nchi ni "Mwelekeo" wao kisiasa

    Unadhani hili la sasa hivi dunia haijatushangaa..!?
  8. newjeo5777

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Kamati Kuu itakaa kutoa msimamo rasmi juu ya Mbunge wa Nkasi, Aida Khenan

    Nadhani angesema kuwa wananchi wamemchagua.. Na wakampambania atangazwe.. Maana show haikuwa rahisi.. Mpka kutangazwa..
  9. newjeo5777

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

    Sema kidogo mtu unapoanzisha kitu kuwa makin kama umeelewa kwel au vip.. Kauli inasema Nikiibiwa*.. Sio nikishindwa. . ukijua utofauti hapa njoo ulete tena topic.
  10. newjeo5777

    JamiiForums Tanzania Kinachoponza Vyama vya Upinzani kutochukua Nchi ni "Mwelekeo" wao kisiasa

    Ulikwenda vizuri sana lakini umemaliza vibaya. Kwani ningetegemea utoe hata sababu ya kuwa ni kipi kimefanya chama tawala kibaki. Je ni kwamba hakijawa tayari kuachia madaraka.. Au ni kwamba hakijaona mpinzani wa kumwachia madaraka au ni kwamba kimefanya mengi ambayo watu wamekuja kuyaona...
Back
Top Bottom