Recent content by Newesty ID

  1. N

    JamiiForums Tanzania Gwajima anapoamua kuwalisha wenzake 'pilau'

    Binafsi nilikuwa namtetea gwajima lakini, bada ya kuona video nikaamua kuunganisha matukio, ile video aliyosimama akijirekodi alikubali kuwa yule ni yeye na alikuwa nyumbani na familia, wale wenye macho mazuri juu kulikuwa kunaonekana net zile za pande nne rangi ya pink na ukutani kulikuwa na...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Gwajima hana pua kubwa kama ile, hana macho kama yale. Siyo Gwajima yule

    Share na mimi pm
  3. N

    JamiiForums Tanzania Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

    Naiomba mkuu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

    Hivi kupata hiyo video hadi uwe na connection au vipi? Mwenye nayo a nitumie pm mana hata siamini
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba Askofu Gwaj ashukuru sana huu msiba na Hii Ramadhani

    Hebu tuma pm mkuu nihakikishe nahisi kama anasingiziwa
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni sahihi kuweka udhaifu na siri za ex wako hadharani?

    Kwanza ukimwambia mtu siri za ex wako ni sawa na kuvujisha pepa yani unampa majibu ya mtihani ambao hajaanza kuufanya. Kwa hiyo kila mara ataepuka kufanya yaleee ulomwambia kuhusu ex wako na hatakuwa aishi uhalisia wake so pretending zitakuwa nyingi. Ukiachana na mtu alafu ukapata mpya mwambie...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mtwara na Lindi, tupeni hali ya hewa na kile kinachojiri

    Mnaotumia hii app mbona naona kinaenda kwa kujisokota hakiwezi panda kweli masasi
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pamoja na msaada wote niliompa bado anatoa wapi ujasiri wa kufanya ujinga kama huu?

    Mwendawazimu, chizi siye na akili kwenye hii stori ni wewe Naacha mke na watoto unatembea na kabinti ka watu Da moto wako naomba uchochewe hata mara buku Fyuuuu
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke ambaye nitafunga nae ndoa

    Haha njoo inbox my hubby ushanipata
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A matured man needed for marriage

    Ur so cheap, if u can accept a divorced man Again ua Very cheap
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mume

    Hahahahaha huyu kila uzi huwa anatoa namba ,kuna uzi alisema ana miaka 39 mwingine ana miaka 42
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mume

    Wewe unayo?Tuanzie hapo
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mume

    Hahha acha kuwaogopesha wenZio james
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mume

    Sawa boy ,pita tu
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mume

    Una miaka 39 au 42???
Back
Top Bottom