Recent content by Newcreation

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Corona, Magufuli anaenda kuonekana shujaa

    Tuacheni visingizio, tuchukue tahadhari lakini tuchape kazi.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Corona, Magufuli anaenda kuonekana shujaa

    Mara lockdown, Mara kilikwenda kikarudi. Hatua inazochukua serikali zinatosha sana na zinafaa kupongezwa mno. Big up Magufuli kuitisha maombi ya kitaifa. Watu wanasema Corona ni hatari, how? Kwani hadi sasa malaria imeua watu wangapi? Ukimwi he? Hii Corona yenye wagonjwa hata mia hawafiki na...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Covid-19, Rais arekebishe kauli

    Bandiko zuri sana. Hata katika taarifa ya Mh. Ummy mwalimu kuhusu kifo cha mgonjwa wa Covid-19, ile sentensi kuwa alikuwa na maradhi mengine inaleta madhara makubwa sana mtaani katika Juhudi za kupambana na Corona kwa sababu wengi wanaamini kwamba huwezi kufa wala kudhuliwa na covid-19 kama huna...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nawachokoza: Vicent Kigosi (Ray) na Aunty Ezekiel, milioni 65 mlifanyia nini?

    Milioni 65 mbona inanunua TD amazoni moja tu tena used? Kama ukisema ujenge nyumba basi ni ile ya kawaida sana na kama ni Arusha basi utaishia kununua uwanja tu.
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    Duu! kuna ukurasa kule facebook unaitwa NDOA YA MFANO, wanaushauri mzuri sana. Niliona post yao kuhusu hii mambo ya wanandoa kutenda mambo kisirisiri; wapitie wanaweza kukupa kitu cha kukusaidia
  6. N

    JamiiForums Tanzania DAY 2: Updates za mgomo wa madereva wa magari Tanzania - Mei 5, 2015

    Chadema wabaya sana, wamefanya hila hadi CCM ikaamua kupanga kuwa madereva warudi kusoma kila baada ya miaka mitatu tena kwa ada ya zaidi ya laki tano. Ona sasa madereva wamekasirika kwa sababu ya maamuzi haya ya serikali kwa hila za CHADEMA. CHADEMA wabaya sana.
  7. N

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Kwa niaba ya CCM ninaomba muichague tena kwa kishindo ifikapo Oktoba. Msikumbuke yale mambo ya Escrow kwa sababu ni wachache tu waliteleza wakachukua zile hela; japo si mnajua hazikua za umma? Hazikuwa za umma kabisa hata mwenyekiti alithibitisha. Huu mgomo wa madereva pia usiwatishe kwa sababu...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Gwajima apandishwa Mahakamani Kisutu; aachiwa kwa dhamana na kesi kupigwa kalenda!

    Kuna watu wana mpango wa makusudi kabisa kuiangusha CCM kupitia maamuzi yao. Gwajima kupelekwa mahakamani ni sawa ikiwa kuna tuhuma ambazo polisi wamejiridhisha nazo; lakini strategies zinazotumiwa na polisi kushughulikia mambo na hao wanaowaita watuhumiwa zinafanya raia waichukie sana serikali...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Lema aliposema nchi hii CCM wameifanya kama Gheto wengi hawakuelewa, Leo tunaona

    Serikali inayoelekea kuanguka utaijua tu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mh.Pinda abaki mpweke !

    Masikini Pinda! Hapo bado dua na albadiri za waislamu zinamfuata nyuma na kuna maombi ya wakristo wakimlilia Mungu ashughulike na wanaochezea amani kupitia udini ili wapate madaraka. Pinda ana wakati mgumu kimwili na kiroho na asiporudi madhabahuni kutubu; laana itamla yeye na kizazi chake...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ya Jenerali Ulimwengu na Josephat Gwajima, CCM ni Virus hatari

    CCM! CCM! mnaruhusuje watu wachache kuwafanya muangukie pua?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) yaahirisha kura ya maoni

    Hao waliotangaza mimi siwatambui. Nasubiri tarehe 30 nikapige kura ya Hapana, vinginevyo JK aliyenijulisha tarehe ndie aje kutengua. Hebu msinichezee akili, kuhamasisha ahamasishe , mwingine halafu kwa kiherehere aje kuahirisha mwingine, kiaje? Kivipi? Namtaka aliyetutangazia aje kuiahirisha
  13. N

    JamiiForums Tanzania Muswada wa mahakama ya kadhi waondolewa bungeni

    CCM imejiandalia anguko
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa Tanzania hamuajiriki

    ikiwa wewe ni muajiri huwezi kubishana na uhalisia huu.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Silaha iliyokamatwa TMJ sio ya Gwajima, ghafla silaha ni ya Gwajima

    Vyovyote iwavyo, ukweli ni kwamba polisi wanasaidia sana anguko la CCM.
Back
Top Bottom