Recent content by Newcastle1234

  1. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Nauza TV Samsung 32 Inch kwa Tshs. 190,000 tu

    Nina mtu jirani yangu mwenye 150 lakini nimemkatalia
  2. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Nauza TV Samsung 32 Inch kwa Tshs. 190,000 tu

    Hapana sio smart. Ni ya kawaida
  3. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Nauza TV Samsung 32 Inch kwa Tshs. 190,000 tu

    Salasala Dar es salaam
  4. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Nauza TV Samsung 32 Inch kwa Tshs. 190,000 tu

    Iko katika hali nzuri kabisa haina shida yeyote. Piga or WhatsApp 0788893364
  5. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania hivi kwa kijana mtaji wa M1 unaeza anzisha biashara gani ambayo inamzunguko mkubwa??

    Nicheki PM. Hiyo 1M itazaa 5M kwa mwezi
  6. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Tunakesha kusubiria Breaking News ya ndoa ya Simba na DP WORLD. Wana Msimbazi tutakuwa tunasajiri kama PSG au Madrid au Barca
  7. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Ubao wa LiveScore unaonyesha ngapi ngapi mpaka sasa?
  8. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa binafsi yangu, Makonda hatufai Arusha mjini

    Hao wabunge waliotangulia waliokuwa wanaijua vizuri Arusha, wameifanyia nini Arusha? Kama ni kwa wewe binafsi hakufai, basi hakuhusu, kwasababu hatakuwa Mbunge wako binafsi, atakuwa kwa wana Arusha wote. Arusha ilikuwa imeshadumaa, sio kwa utalii au madini au mahusiano ya kimataifa na...
  9. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa aliyewahi kusajili Mradi TIC

    Akirudisha mawazo nishtue nikupe mwongozo
  10. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Watu wazima wanaojitapa kuzaliwa Dar ni mojawapo ya watu wa ovyo sana

    Hujagundua wazaliwa wa Dar karibu wote ni mabwege?
  11. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Yaongoza Kwa Wasomi wengi Tanzania

    Mnaongelea kusoma Madrasa au Elimu Dunia?
  12. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Hangover ya Colonialism bado inawasumbua nchi za Ulaya - Bunge la Ulaya likiongozwa na Ujerumani walioua Babu zetu na kuwatesa

    Na bado hamjasema. Mmezoea kuwaonea wananchi na wapinzani, sasa mmekutana na vidume mabwana zenu wazungu. Mtanyooooka. Hehe. Mtulie tuliiiii
  13. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania litoe tamko kukemea uingiliwaji wa Sovereignty ya Tanzania in strongest possible terms!

    Sio mambo ya ndani tu, watawaingilia mpaka mambo ya chumbani. Kazi kuomba omba hela alafu mnajifanya vidume? Tena tulieni tuliiiii
  14. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Maswali 8 ya kuwauliza Bunge la Ulaya

    Tangu lini misaada ikawa biashara kwa waafrika wewe? Use your head. Mikataba mlishasaini, mtaendelea kuwa watumwa wa hiyo misaada.
  15. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Maswali 8 ya kuwauliza Bunge la Ulaya

    Wanachukua rasilimali zenu kwasababu nyie ni mabwege. Na kuonyesha kwamba ni mabwege zaidi, mnazidi kuwafuata hao hao mnatembeza bakuli kuwaomba hela. Kila siku mnajisifia kwamba mnakopesheka. Sasa tulia hivyo hivyooo. Na bado hamjasema
Back
Top Bottom