Recent content by New student

  1. New student

    JamiiForums Tanzania Wema wanakufa. Wabaya wanakufa. Sasa niwe mwema ama m-baya ndani ya jamii?? Wema una faida gani??

    Ukifa na ubaya kesho uko unaenda kufa tena na tena ila wema unauwezekano ukakuweka pazuri baada ya leo.
  2. New student

    JamiiForums Tanzania Nionesheni dawa ya mtu mzima miaka 20 anayekojoa kitandani

    Muone dogoli kinyamkela.
  3. New student

    JamiiForums Tanzania Duh hii imekaaje

    Business card ya udalali
  4. New student

    JamiiForums Tanzania Tuambizane hapa vitu ambavyo mwanaume akivifanya vinaonekana ni vya kike kike

    Yap Mwanaume hachezei matako #pembe ya ukuta (kusosa)
  5. New student

    JamiiForums Tanzania Mama yangu amenipeleka kwa mganga

    Lengo la mama hataki upotee kwenye zinaa maana zinamaliza sana hela ila njia alietumia yeye si sawa fanya uoe umpunguzie kuchuma dhambi za kijinga uyo mzee
  6. New student

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa nyota kila siku

    Capricon: nilikuwa na shida kubwa sana kwa muda mrefu,sikuamini asubuhi ya leo kupokea simu ya ukombozi.
  7. New student

    JamiiForums Tanzania Jina gani la ukoo lilikuwa likitajwa darasani ilikuwa lazima watu wacheke?

    Atufile mwaimboro
Back
Top Bottom