Recent content by new sheby

  1. new sheby

    JamiiForums Tanzania Wanaume jamani naomba mtuache tupumue basi

    Pesa ndo kila kitu hata uwe na sura kama sokwe kama hela ipo utaoa hata muhindi
  2. new sheby

    JamiiForums Tanzania Huyu mtangazaji wa tbc anafanana na nani!?

    Mbona ni mzee
  3. new sheby

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wabunge wanaotumia vibaya madaraka yao ya kibunge

    Unataka watu wote wawe na akili kama zakwako
  4. new sheby

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni muumini sana wa "quantity" na siyo "quality"

    Mimi hua simuelewi kabsa huyu mzee na matakwimu yake hua anayatoa wapi
  5. new sheby

    JamiiForums Tanzania Sakata la Sh.Trilioni 1. 5: Zitto kutoa maelezo mengine leo

    Atakuwa wapi maana anatafutwa
  6. new sheby

    JamiiForums Tanzania Kuandika Tunajiweza Lakini Kutenda Hatujiweni

    Nina maumivu makubwa ndani ya moyo wangu
  7. new sheby

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    We utakuwepo au utakua nyuma ya k boad
  8. new sheby

    JamiiForums Tanzania Ni hatari Jeshi la Polisi kuzagaa mtaani

    Police wetu hawajazoea mikiki mikki matumbo makubwa wanacho jua wao ni kula rushwa na kubambikia watu kesi
  9. new sheby

    JamiiForums Tanzania MKO POA WAKUU

    Msaada wa kiimani baba yangu leo ameniambia toka alivyo acha kwenda kanisani yapata miezi minne sasa anasema mambo yake yamekua mazuri mno sasa nimfanyeje ili amrudie muumba wake
  10. new sheby

    JamiiForums Tanzania Tunakopesha na kuuza sola za majumbani

    Utaratibu upoje kwa anaeitaji kukopa hususan mkoani
  11. new sheby

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Viwanda: Tumefikisha 49% ya lengo!

    Mimi mbona sielewi hapa nilipo mkoani sijaona hivyo viwanda zaidi ya vyazamani natena havifanyi kazi au wanamdanganya mkulu ati 49% mbona hizo ajira za viwanda atuja sikia zikitangazwa hapa mkoani
  12. new sheby

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ndogo ya kukodi/Car for rent inapatikana kwa Mil 1.

    Kwa hiyo milion moja mafuta nikuwekee mimi pancha nikuzibie hata service nikufanyie mimi kwa miezi 3 siwezi kukupa tafuta pikipki hyo ndio itakufaa mkuu
  13. new sheby

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Dkt John Magufuli akiombewa na viongozi wa Kidini baada kufungua Kiwanda cha Alizeti

    Aombewe ili afanye nini kama kuombewa anombewa kila siku anacho fanya hakionekani
  14. new sheby

    JamiiForums Tanzania Ukakuzi wa magari madogo kwa Dar mbona kimya

    Hata moro bado sijaona uo ukaguzi
  15. new sheby

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Makanisa na Misikiti kwenye makazi ni kirusi kinacholelewa na Serikali

    Wewe ni mpuuzi ulita nyumba za ibada zijengwe porini izo kelele zinazo kuzuia usilale ni Kelele gani acha upuuzi
Back
Top Bottom