Recent content by New Id

  1. New Id

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa na shemejio/mdogo wako kicheche

    kiongozi hiyo ishu ni ndogo, mwite dogo mpe msimamo wa nyumbani kwako, then mpe kamda kidogo ukiona hali bado ngumu mrudishe kwao, nje na hapo mambo yatakuwa magumu baadae
  2. New Id

    JamiiForums Tanzania Waliooa wamasai tupeane changamoto na ubora wao

    brother kikubwa amefikia vigezo vyako, mambo ya ukabila tuwaachie nchi jirani :).
  3. New Id

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri gani utampa mtu anayetembea na Mkeo/Mume wako?

    sema mke naa girlfriend ni tofauti, kutembea na mke wa mtu sio poa adhabu yoyote inaweza ikawa juu yako
  4. New Id

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kukuta meseji ya mchepuko nifanye nini kumtuliza?

    hapo Ni busara ya refa tu. VAR inaonesha red card no way mkuu
  5. New Id

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mshituko: Rafiki yangu tuliyeshibana unamuoaje Dada yangu?

    kaoe kwao, ili mzani ubalance. kikubwa uhai
  6. New Id

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakaribia kuoa na umekutana na hili

    unatakiwa umuoe mwanamke anayekupnda sio unayempnda!!
  7. New Id

    JamiiForums Tanzania Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Nilikosa jina kabisa.
  8. New Id

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mademu wakimya mnakera mnoo

    Majina ya akina Mariam huwa Ni wapole Sana
  9. New Id

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa chumbani na mpenzi wako, kitu gani unapenda akufanyie ambacho hakufanyiagi

    Asichomoe betri tu
  10. New Id

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu wako wa karibu anakwambia nini katika hatua kama hii?

    Mwanamke aliyepo nyuma ya mafanikio kwa maisha ya Sasa ni mama mzazi, wife 50/50.
  11. New Id

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku Ya Plan Z Kukusanya Mahitaji Yenu.

    Naomba notes za organic my classmate, kesho tutafungua shule
  12. New Id

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempiga mtoto kibao, nimelia mimi

    Nikiwa darasa la kwanza nililazwa nje bila kula kisa sikusoma, ila Leo naona matunda ya kitendo kile,
  13. New Id

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko addicted sana na mwanamke wa dizaini hii...

    Hujawahi kukosea, agiza chipsi kwenye lambo naja kulipa
  14. New Id

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili ni tatizo au kuna mtu anakua na hali kama hii???

    Kupenda kunakuja automatically, Itafika mda utapata mtu sahihi
  15. New Id

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili ni tatizo au kuna mtu anakua na hali kama hii???

    H u j a w a h i. k u p e n d a
Back
Top Bottom