Mtu wako wa karibu anakwambia nini katika hatua kama hii?

Nyie wanawake wa humu kila Leo tunasoma comments zenu jinsi mnavyoyachukulia mahusiano na hasa kuhusiana na situation anayoelezea mleta mada, wengi mnafanana kimaono.

Sikumbuki ni mara ngapi nimesoma huu mstari "ukiona mambo hayaendi vizuri ndani ya ndoa/mahusiano basi ujue mwanaume ameshindwa kusimama vizuri kwenye nafasi yake"

Sasa kwa mwanamke mwenye mawazo kama haya saa ngapi atakuwa na akili ya kumu encourage mume wake pale anapoanguka!?? sana sana si atamkimbia tu huku akimshtumu kuwa ameshindwa kuwa mwanaume ndio maana akaanguka eboo acha unafiki binti.
Hiyo ni mentality umejiekea siwez kukubadili
 
ahahaha... mmemsajiri yeye ndio anacheza middle siku hizi anatuvuruga balaha, halafu wewe unacheza tatu, atoto anacheza tano,Uliweso anacheza nne,demis anacheza sita,cute b anacheza saba,madam s anacheza mbili halafu katoto kazuri golini.... kwa hili kosi mnajipigia hata Algeria lakini kwenye ile vita ya KE VS ME mara nyingi mnapwaya.
Tumemsajiri kivipi yaani..
Acha kumuonea dada wa watu
 
Hayo umeyasema wewe mkuu.
Kwakifupi hapa naona watu mnajadili ndoa kama simulizi za hadithi njoo.
Na hii ndio moja ya sababu ilio nifanya nishukuru Mungu baada ya kusoma comments zilizo tangulia.
Kwaleo naomba niishie hapa mkuu, sipendi na sijisikii furaha sana kuendlea kujadili lolote kuhusu hii mada.
Sawa mkuu
 
ahahaha... mmemsajiri yeye ndio anacheza middle siku hizi anatuvuruga balaha, halafu wewe unacheza tatu, atoto anacheza tano,Uliweso anacheza nne,demis anacheza sita,cute b anacheza saba,madam s anacheza mbili halafu katoto kazuri golini.... kwa hili kosi mnajipigia hata Algeria lakini kwenye ile vita ya KE VS ME mara nyingi mnapwaya.
Hahaha nimefurahi wewe mwenyewe umekiri kuwa anawavuruga balaa
 
ahahaha... mmemsajiri yeye ndio anacheza middle siku hizi anatuvuruga balaha, halafu wewe unacheza tatu, atoto anacheza tano,Uliweso anacheza nne,demis anacheza sita,cute b anacheza saba,madam s anacheza mbili halafu katoto kazuri golini.... kwa hili kosi mnajipigia hata Algeria lakini kwenye ile vita ya KE VS ME mara nyingi mnapwaya.

Umemsahau butterfly, bila huyo timu haijakamilika
 
ahahaha... mmemsajiri yeye ndio anacheza middle siku hizi anatuvuruga balaha, halafu wewe unacheza tatu, atoto anacheza tano,Uliweso anacheza nne,demis anacheza sita,cute b anacheza saba,madam s anacheza mbili halafu katoto kazuri golini.... kwa hili kosi mnajipigia hata Algeria lakini kwenye ile vita ya KE VS ME mara nyingi mnapwaya.
Eti anacheza middle.
Nmecheka sana Leo, Leo jf tangu asbh nakutana na vichekesho tu

Ile ligi huwa mnapwaya nyie, sio sisi.
 
ahahaha... mmemsajiri yeye ndio anacheza middle siku hizi anatuvuruga balaha, halafu wewe unacheza tatu, atoto anacheza tano,Uliweso anacheza nne,demis anacheza sita,cute b anacheza saba,madam s anacheza mbili halafu katoto kazuri golini.... kwa hili kosi mnajipigia hata Algeria lakini kwenye ile vita ya KE VS ME mara nyingi mnapwaya.
Ha ha ha hio list ya #TeamPasuaKichwa balaa! Kocha mchezaji Heaven Sent
 
Kama vile mnavotuweka kwenye mkumbo mmoja na sie

Kwanza uelewe wengine humu hatufungamani na upande wowote na hua tunachangia vile kutokana na mada husika na si kila mada utachangia uonekane umechangia

Pili elewa kua binadamu hatufanani kama vidole usikandamize wala kulazimisha kutuweka kwenye mzani sawa ili tu kile ulichojiwekea akili kiwe ndicho badili mfumo wa fikra akilini mwako tupo wanawake tuna ndoa zetutunajielewa na wapo wasokua na ndoa zao na wanajielewa vile vile

Samahani sana na nikuambie tu mimi mume wangu naamini ndio mtu ambae anaweza tukashare mambo bila kificho sitaki kujua ananificha au la lakini ile tu mke wangu kuna kadha wa kadha nisaidie ushauri au unashauri vipi kwangu me naona nimethaminika na natoa ushauri wangu kama inavyopaswa

Halaf si kua mtaishi kwenye ndoa au mahusiano kila siku mtapata fedha, au kila siku mahela yanaingia kuna leo na kesho maisha ni kupanda na kushuka, akikosa bas sitaacha kumfariji sababu najua anatafta japo na mie natafta tusaidiane lakini naelewa ye kama baba ndio kichwa cha nyumba nikianza kumkatisha tamaa tutaishi vipi?? Lazima nimpe moyo kwanza nilivyo sipendi kumuona ana sononeka et kisa mambo hayaendi sawa wakat mimi ndio mkewe naweza mpa moyo nikamfariji hivo elewa tu kama wema upo na ubaya upo bas wanawake wenye sifa nzuri wapo vile vile

Back
Top Bottom