Mie natumia hybrids tu...nipo na prius mbili...pia kwakua mie ni DIY person....huduma zote nafanya mwenyewe..yaan ninafanya service mwenyewe ya mifumo ya hybrid
Wakuu nauza gari yangu
Toyota vitz
Mwaka 2003/2004
Transmission automatic CVT
Engine cc 1298
Colour silver.
Ipo kwenye condition nzuri kabisa
Tairi bado zipo vizuri.
Air condition system ipo njema kabisa.
Bei ni 6.3 mazungumzo yapo
Mkuu, labda nikuambie ...hizi hybrid kwenye battery pack yake inakua na modules kadhaa mfano yangu inakuja na module (cell 28) zenye volts 7.2 zilizo ungwa in series na kutengeneza total voltages 201.6 (this is minimum voltage...na kuna kua na computer inayo monitor voltage ya every individual...
Unatisha watu wewe prius hizi tunazotumia bongo gen 2 na gen 3 bei ya battery haifiki 4.3m.... mie natumia prius toka 2017 kwanza sijawai pata changamoto ya battery wala nini. Pia battery yake ukienda pale garage ya Yokohama ya wajapan pale shaurimoyo (price ni 1.5m-2m) unapata every healthy...
Kitu watu wanatakiwa kujua p2 inafanya kazi kwa ku extend time ya ovulation (yaan kusogeza muda wa yai kutoka kwenye ovaries kwa ajili ya kwenda kurutubishwa na mbegu).... Ila kama yai tayari limesha toka basi p2 haisaidii tena na mkifanya mapenzi na mbegu zikamwagikia ndani hata kama utakunywa...
Kwani kaisha saini offer letter? Kama haja saini hakuna haja yoyote yakuwaza kwakua hakuna contractual agreement between patties wa huo mkopo,...na kama kasaini ila disbursement haijafanyika aandike barua ya kisheria ku cancel hiyo loan kwakua purpose ya application ya hiyo loan hiapo tena...
they are all junk cars... ila kila mmoja ana sifa zake.......ila kia zina muonekano mzuri kuliko nissan, ila KIA na mwenzake Hyundai wana changamoto ya quality ya injini so spea pia japo zapatikana kwa ku import.. kwa nissan qashqui ni nzuri pia ila kimuonekano KIA zipo njema...with nissan...
Kacheck valvematic ya engini yako inaweza kua inashida... tumia scanning machine kujua why inafanya hivo ingawa kwa engine nyingi za sasa za Toyota zinakuja na valvematic na sio vvti, so valvematic motor ikifa engine inashidwa kua timed vizuri valve zake pale gari inapotaka more power from...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.