Recent content by new episode mtei

  1. N

    Viongozi wa CUF wamegoma kumnadi Lowassa?

    Hahahaha nashangaa huyo pongo au labda anamnadi bibi Yake
  2. N

    Mafuriko ya kutengeneza yana madhara makubwa

    H20 Hahahahaha roho imesuuzika kabisaa maana kamwe blue haiwezi Kuwa Njano.... Mr.president Jana alikua anacheeka kuona watu wengi kumbe walikuwa wamekwenda kutazama show na kwa Habari zilizopo ni kuwa watu Walikua wanagombania kutoka ili wawahi magari ya wasanii yaliyokua yakitoka...
  3. N

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Unataka ajibu Nini haswa pale kama sio unafiki tupu eti anamuita Gwajima Mshenga na yeye Yale masharti aliyaweka Kama nan kama sio yeye ndio Alikua Mposaji
  4. N

    Mikakati ya kulinda heshima ya mgombea urais wa CHADEMA yaendelea, sasa ni kuhusu muda wa kuzungumza

    Na hata akiwa amekufa waweke tu Picha Yake Pale Kura yangu amepata...
  5. N

    Wapi ndugu zangu waweza uza madini ya Ruby?

    Tuwasiliane kwa taeatibu zaid nitakuelekeza vizuri na watafanikiwa ...ila kwanza ni ruby Gemstones ama ni ya kwenye mwamba karandam kama ile ya mpwapwa...??
  6. N

    Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Katika kipindi ambacho kimekua na Changamoto nzuri na zenye tija ni Leo na Nadhani Humphrey PolePole ataenda kulala na tai shingoni....!!!!!
  7. N

    Siku Dr. Slaa akiongea

    ikibidi usioige hata kura yenyewe kabisa
  8. N

    Lowassa ahutubia Baraza Kuu la CHADEMA

    Unajua hili swali kila asie na maono ya mbali analiuliza lakin ngoja nikujibu wewe ukawaambie na wenzako...LOWASSA ameingia upinzan kupitia CHADEMA lakin ukumbuke kwa mujibu wa vyama vyote vi4 kufanya maridhiano hvyo kuegemea upande wa CHADEMA pekee kwa kuvaa GWANDA ni kuonyesha hali ya kuweka...
Back
Top Bottom