Recent content by New beginning

  1. New beginning

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nauchukia mwezi February, mwezi wa birthday ya mke wangu, mwezi wa birthday ya CCM, mwezi wa Valentine's Day

    Nawaza candle light dinner na table for two ukiwa umekereka ndani ya moyo inakuwaje🤔
  2. New beginning

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji mwizi & Mzinzi, anayependwa sana na mumewe. Je, ukigundua anataka kumtoroka ndugu yako, utachukua hatua gani?

    Ya Ngoswe, mwachie Ngoswe mwenyewe
  3. New beginning

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume wangu hataki kufanya kazi. Mimi ndiyo na mlea na mtoto wangu, naombeni ushauri wenu

    Pole sana kwa unayoyapitia. Mwanaume mvivu ni sawa na kuishi na ugonjwa. Linda afya yako, hasa ya akili. Mlelee mwanao hata wakikuita single mother, wewe ndio unajua shida unazopitia. Inshallah Mungu atakufungulia milango ya mafanikio zaidi.
  4. New beginning

    JamiiForums Tanzania Kijana wangu wa kiume amefanya tukio ambalo limemfanya apelekwe polisi

    Pole kwa changamoto. Kama ukitaka kumtoa, basi uwe na mkakati (wa kiakili, kimwili, kimazingira na kiroho) wa namna utamrekebisha kikamilifu. Ila kama huna mkakati au uwezo wa kumrekebisha, basi muache huko (ila umjulishe kabisa kwa nini unafanya hivyo), sheria itachukua mkondo wake, atajifunza...
  5. New beginning

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa GSM amemzawadia mume wake bonge la msikiti na private jet

    True!
  6. New beginning

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa GSM amemzawadia mume wake bonge la msikiti na private jet

    Unavuna unachopanda (what goes around, comes around)
  7. New beginning

    JamiiForums Tanzania Tukio gani limekukuta la kusahau kitu ulichokuwa unataka kufanya na unakijua hadi ukajicheka mwenyewe baada ya kumbukumbu kurejea

    We are still alive as overcomers. Tutakuwa na ya kusimulia kwa wajukuu zetu hakika
  8. New beginning

    JamiiForums Tanzania Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

    Imagine kelele zote hizo watu wametulia hawaingilii kati. Alafu kesho jirani yako anakuja kwako kuomba msaada utampa kweli?
  9. New beginning

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?

    Wiping is Wiping my dear, wengine tunatumia magunzi na majani huku ( Ukianza kuhusisha matendo, mawazo au utashi wako na mambo ya kiroho (iwe imani ya dini au za jadi) basi kila kitu hubadilika, kuanzia fikra, mate ndo, maneno na hata utashi wako. Ambaye mambo yake yanaelea hana msingi wa dini...
  10. New beginning

    JamiiForums Tanzania Madhara ya damu isiyo na hatia, katika uongozi ardhi na familia na uchumi

    Nitarudi kusoma vizuri. Asante sana Mshana Jr
  11. New beginning

    JamiiForums Tanzania Nataka niombe kazi wakati bado nipo kwenye ajira nyingine

    Dishonest can disqualify you. Cheza vizuri
  12. New beginning

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama amshauri mwanaye kuacha kazi kisa ndoa

    Kipato hakipo kwenye ajira peke yake, fungua akili waza kwa mapana zaidi
  13. New beginning

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napata mashaka na vitendo vya mwenza wangu, sijui ana nia au lengo gani

    Mwenye macho haambiwi tazama
  14. New beginning

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu mniombee nafanyiwa upasuaji kesho

    Mwenyezi Mungu akujalie kupona kwa haraka na kukupa afya njema
Back
Top Bottom