Recent content by Nevisi

  1. Nevisi

    JamiiForums Tanzania Machache usiyoyajua kuhusu mapacha

    Namshukuru Mungu kunipa uzao wa mapacha wa kiume, ingawa Dotto siko nae kimwili but kiroho yupo nami
  2. Nevisi

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko bora wa juisi ya matunda ni upi?

    Parachichi, embe, passion, nanasi, papai, ndizi, tangawizi na iriki
  3. Nevisi

    JamiiForums Tanzania Kutembewa na kitu mwilini

    Hilo tatizo ata mie lilishawahi nikumba
  4. Nevisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

    Da!! Mie nkikumbuka niliteseka acha kabsa , nlkua na mapacha wakiume, mmoja akatoka ametanguliza miguu na mwingine mkono, ila wapili akafariki, pindi hajatoka wapl nilhis kufa, yaan mpka Leo hii Picha ya mtoto yule haijafutika machoni najitahid kumtoa akilin nashindwa
  5. Nevisi

    JamiiForums Tanzania Andika sababu ya kifo kutokana na mazngira

    Uyo amenyongwa baadae akatundikwa hapo, hii ni kwasababu yy ni mlemavu, je alwezaje kupanda juu ya stuli afu akajinyonga??
  6. Nevisi

    JamiiForums Tanzania Hii ni Kukabwa na wachawi au ni psychological perception?

    Litakua lijinamizi tu ilo
  7. Nevisi

    JamiiForums Tanzania Unapenda nimpe jina gani mwanangu wa kiume?

    Greyson
Back
Top Bottom