Aiseee, ila kuna mwenye nchi mwenye nguvu hivi sasa kupita KJ?
Inaonekana kila mahali kawazidi kete si hao Deep state si CCM, si Tiss wala si JWTZ, jeshi ndani ya jeshi, mifumo ndani ya mifumo,
Na yeye namba 6 anaishikilia pamoja na Deo, atakubali kushindwa?
2025 kaleta waganga wengi mno wa pande nne za dunia, katoa kila aina ya Kafara za wanyama hadi binadamu maelfu kwa maelfu, kamtoa kafara hadi mumewe, je majini yake hayajatosheka na hizo kafara?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.