Kumbuka kwamba ile ilikua ni proposal ya mkodiashaji na ile klabu ni ya wanachama na ndo mana bodi ya udhamini itaenda kukaa na kuangalia waweke terms za aina ganii na za kuinufaisha klabu...bado unaweza kusikia vitu tofauti ndo mana mpaka leo bado haujaskia chochote bdo ni ishu kubwa wala sio...
Unaongea utadhani umeuona mkataba..haujajua mkataba utakua na mambo yapi. bodi ya udhamina ya yanga sio wajinga kiasi iko waruhusu mkataba ambao hautaipa yanga mafanikio..tokea yanga imezaliwa inaendeshwa kwa hasara leo anatokea mtu anakwambia atakua anaweka 25% na hakuna hasara..manake ikiwepo...
Umepuyanga na haujui lolote..bora ungekaa kimya uwaachie wana yanga wenyewe..alafu sidhani kama unamfahamu manji vizuri..kesho angalia kitacho tokea pale..manji ndie anaeenda kupiga watu chini na sio yeye kupokwa timu..
We nae umevurugwa aiseee..kama hauna pesa au hauwez kufanay birthday si ukae kimya..mtu anafanya na anaishi anavyoweza ili mradi asivunje sheria za nchi..umepuyanga mkuu..hauna hoja.
Kuna mtu wangu wa karibu sana amabe yeye hupiga mswaki kila asubui na anapolala usiku lakini hua anakua na harufu mbaya sana ya mdomo. Tatizo linaweza kua ni nini na anawezaje kupata tiba ya hilo tatizo mkuu.
Acha ujinga wewe..eti ooh sio akili yangu ni shetani.ivi wakati unawaza kuyafanya na uyo binamu yako si ungekua unafanya kazi zingine ili wazo na uyo binamu yako lisiwepo..utakua na laana wewe acha ujinga tena acha kabisa..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.