Nilijawa na furaha sana siku ambapo niliokota elfu nane barabarani,
Na katika utoto wangu nikaenda na kumpa mama,
Tangu hapo nikaanza kupambana sana kuwa makini barabarani ili "niokote hela nyingine 😁"
Lakini mpaka leo sijawahi bahatika kuokota hela kama hiyo,
Sidhan kwa sababu sina bahati...
Jana saa kumi jioni nilihisi kuchoka na kama kukata tamaa vile,
Na kuona mbona ni kama najitahidi kupambana na ninarudishwa nyuma,
Yaani ni kama kuna nguvu zinanifanya nisipige hatua na hata mimi sioni ni nguvu zipi,
Tukio lililonifanya nifike hapa ni swala la dharura ambalo lilinifanya...
Ugumu wa mambo upo kwa kila mtu,
Na kila mtu kwa wakati wake,
Lakini,
Mwitikio kwenye huo ugumu unatofautiana kati ya mtu na mtu,
Na hili ndilo linaamua kujichelewesha au kupita na kushinda licha ya ugumu,
Haya ni baadhi ya mambo mara kwa mara naona hata kwangu huwaa ni sababu ya kufanya...
Huenda wewe ni mfanyabiashara,
Mwajiriwa,
Au umeniajiri,
Huwa unafanya ninibunapoona gafla mambo yamebadilika?
kipindi hicho unafanyeje usikate tamaa na uendelee kupambana?
Mimi natumia njia hii;
- Kujitenga na kuliangalia swala kwa undani
- kujua kwa nini limetokea na mimi...
Jana nilikaa na kaka mmoja hv na kuongea kuhusu maisha,
Na katika hiki na kile nikamwambia kuhusu changamoto fulani hiv ndogo,
Lakini badala ya kupata ushauri ni kama nilikuwa nimefungua koki kwake,
Naye akaanza kutoa lawama na kwa nini flan na flan wapo vile,
Mh! Mwisho nikajiona nimeomba...
Kuna uzembe na udhaifu na mara kwa mara ninekuwa nachanganya hivi vitu,
Uzembe kuufanya uonekane udhaifu na hivyo nibebwe au ile kuonewa huruma kwamba "ni udhaifu tu"
Lakini kiuhalisia ni uzembe mkubwa
uzembe sasa naona ni pale ninaweza kufanya kitu ili mambo yabadilike na bado sifanyi
Na...
Wanasema ukitaka kuficha kitu kwa mbongo ni weka kwenye maandishi,
Na kwamba kuna wengi wanatamani sana kuongeza maarifa ila kuna changamoto hizi wanapata,
- kukosa muda wa kusoma vitabu.
- lugha changamoto sio kwamba hawajui kizungu ila ni kwamba "hawatak suluba ya kubabaika kuelewa"
nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.