Recent content by nepi nene

  1. N

    Wabunge Wawili wa CCM Waliopiga Kura za Hapana Jana ni Muafaka Wakajitoa Sasa!!

    We taahira kweli!msimamo wa chama chako nikuwa wanachotaka wakubwa nyie ma mburula mfuate tu hata kama ni ya kijinga,wajanja wenye akili wanapopinga unawaona wajinga.Hebu fumbuka boya,achana na misimamo ya chama,simamia kile unachoona ni sahihi.acha uoga,halafu chama chako ni madikteta...
  2. N

    Nawaomba radhi niliowakwaza, CHADEMA ni chama sahihi kwa Watanzania

    Lakini aliyosema ni sahihi kabisa,sitaipenda ccm na watu wake milele
  3. N

    Wazanzibari wataka ajira kwa Watanganyika huko Visiwani ikomeshwe; wagonga mwamba!

    Umekosa cha kupost nini?ritz acha ujinga amka,toka kwenye usingizi wa ujinga,ushabiki usio na maana unakufanya uwe mjinga kuliko kawaida,zanzibar walishavunja muungano na kama kweli tina muungano kwanini waziri mkuu wa muungano hatambuliwi zanzibara?kwanini hata rais wa muungano hana mamlaka...
  4. N

    Maono ya Kikwete Yatimia Misri

    Tena na menyewe ni mafisadi na uanajeshi wao!
  5. N

    Maono ya Kikwete Yatimia Misri

    Maono gani hayo ya kitu kilichokwishajitokeza?we boya kweli acha ushabiki wa kijinga,eti maono!mapunduzi misri yametokea zamani sana,na kama mwanajeshi kugombea urais ndiyo ajabu yeye mwenyewe si ni mwanajeshi!
  6. N

    Mara nyingi ukisikia majibu ya faida za muungano; unaambiwa Zanzibar ndio inanufaika zaidi

    Raslimali za taifa hili zinatumiwa na wachache,wananchi wa kawaida hatunufaiki nazo,zote zinaishia kwa viongozi wa ccn
  7. N

    Kama tunaamini katika vyama, CCM itatawala daima!

    Ndugu yangu ifweero,mimi nisingekuwa na shida na ccm hata kama watakuwa mafisadi kiasi gani ili mradi tu watujali na sisi wananchi japo kwa kidogo tu.angalia hili,ukiugua ukaenda hospitali hupati matibabu yanyostahili tena unatibiwa kwa kuchelewa sana,asilimia kubwa ya watu hubidi wahonge ili...
  8. N

    Kama tunaamini katika vyama, CCM itatawala daima!

    Ushahidi upo,ni kwasababu tu ccm ndiyo wenye dola,hakuna atakayechukuliwa hatua hata siku moja,pili huwezi kusema kuwa upinzani haujafanya chochote,kwani wao si wenye dola,tena kushinda kwa ccm kunatokana na umiliki wao wa kila kitu,wanapesa kuwanunua wspiga kura walio maskini kabisa kwahiyo...
  9. N

    Kama tunaamini katika vyama, CCM itatawala daima!

    Tangu lini ccm wakawa na maadili?kukumbatia mafisadi ndiyo maadili?tangu lini ccm wakawa na utawala bora?utawala wakinyonyaji ndiyo utawala bora?tangu lini ccm wakawa na matumizi mazuri ya pesa za serikali,hebu tuambie pesa ziluzopotea hazina juzi kabla ya kufo cha mgimwa zimeenda wapi?pesa za...
  10. N

    CHADEMA Mchawi Wenu Huyu Hapa!

    Hapa umesema kweli,nakuunga mkono,ili wapinzani washinde,kuwe na tume huru basi,maana tume yote ni ccm halafu eti mshinde!wapi?mimi huwa nasema hata hao wapinzani wachache waliomo bungeni waliachiwa tu,ili tanzania ionekane nayo ina demokrasia,wakiamua nawambia wapinzani hawatapata hata mbunge...
  11. N

    Uhuru siyo kama marais wengine Afrika Mashariki, oneni

    Huyu ni mtoto wa rais,amegombea babaye amesha staafu,je ritz babaye si bado yuko madarakani fara wewe
  12. N

    Lipumba akataa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa mojawapo wa kamati za Bunge

    Hivi unafikiri wewe una akili sana kuliko wengine?wewe ndiye wakudharauliwa kwakutumika na maccm,na kufuata mkumbo,huna maamuzi kama wewe bali wanachosema bwana zako wewe unafuata tu.
  13. N

    Tundu Lissu: Mbunge kinara wa kudidimiza maendeleo

    Kweli wewe mleta mada umevurugwa na hao wanachi wanaolalamika,kwanza huenda walipangwa makusudi,serikali ya ccm ibachangisha michango wananchi kwa naendeleo yao wenyewe huku kodi zinazolipwa na wananchi hao zikitumiwa na hao viongozi kifisadi tu,jiulize ni kiongozi gani wa ccm alishachangia hayo...
  14. N

    Wakati ITV inaokoa uhai na kufundisha,TBC inaonyesha miziki isiyo na maadili 24/7.Wahusika hawaoni?

    Anachoongea mleta mada ni sahii kabisa,ww umevurugwa tu na mi ccm
  15. N

    JK na CCM wanapotosha au wanapotoka wenyewe ?

    We inawezekana kula kwako na kulala bila jk sijui!jk ana akili kuzidi wote?ukisema hivyo lengo ukupe nini?akili zake ni zipi?za vi degree vya kupewa!muweke jk na mbowe linganisha katika ujengaji hoja,jk hafikii hata robo.fuatilia historia ya ukoo wake kielimu utaona huo nu ukoo wa vilaza!stupid...
Back
Top Bottom