Nawaomba radhi niliowakwaza, CHADEMA ni chama sahihi kwa Watanzania

na mteja mkubwa na papa yako aisee na nasikia ni muumin mzuri tu wa 0713 tena sana na ikibidi hata yeye inakuwa bidhaa sokoni inayo uzika kwa uzuri sana pale bills.

nasikia na wewe ni muuzaji maarufu pale
 
Ungama na tubia kwa mola wako kwanza kasha waombe msamaha kwa dhaati uliowakosea! Siasa si uadui! Kwa taarifa yako hata Rais wa nchi kuna wakati huwa anapitisha ajenda zake thru wapinzani!!!
 
Bado hujatudanya jipange tena chadema kwa unafiki na uzushi sijui mtaacha lini kwa tarifa yako watu kama wewe mko wengi ambao ni wanachadema halafu mnajifanya wanaccm pole sana na chama chenu cha ukoo.

Sii uangalie post zake za nyuma uone alikuwa na msimamo gani? Wewe kila kitu ni kudandia na kubisha tuu huwezi wakati mwingine ukashughulisha akili yako kufikiri?


Sent from my iPad using JamiiForums
 
nasikia na wewe ni muuzaji maarufu pale

si ndio mana nkakwambia baba yako ni muumini na muhudumu mzuri wa 0713 au huja elewa??atatuhudumia kwakweli kutwa kucha utamkuta bills anasubiria wateja,, Na mie ni mteja wake mzuri tu na ni mhudumiaji mzuri sana na anaweza sana kutoa huduma na alinambia ataniletea toleo jipya linalo shinda JF kuganga njaa nadhani ni wewe so nataka nipige wote baba na mwanae.
 
na mteja mkubwa na papa yako aisee na nasikia ni muumin mzuri tu wa 0713 tena sana na ikibidi hata yeye inakuwa bidhaa sokoni inayo uzika kwa uzuri sana pale bills.

Nenda UK ukaolewe kama na we ni muumini wa t...g...o!
 
ukombozi ni process, hongera kwa hatua hiyo, wengine watatambua hilo baadaye, saidia pia ktk hilo kuanzia na familia mpaka jirani na nje kabisa, wakaribishwa sana!
 
Mtu kama Simiyu yetu yupo kama gari bovu kwamba popote ukisukuma unaenda,kwa hyo haujawahi kuona michango ya Vijisenti? Mkuu Vijisenti Karibu sana CDM na kuna wana CCM wengi wana mawazo kama yako sema wanajifanya kichwa maji,Hongera sana
 
karibu nyumbani chadema, chadema ni chama makini umeshapewa kadi?

Anawaenjoy tu huyo gamba. Hata hiyo cdm kilikuwa chama 1992-hadi before they change the color of their flag. After they change it became MTEI FAMILY SACCOS a.k.a The khomeni of Tengeru province.

Kaka ili usiendelee kuwa mnafiki pambanua jina lako sahihi ili ufatwe kutoa yamoyoni juu ya nini kimekuvutia kwa The janjaz.
Halafu hao maccm wanataka nini kwa kudharau maoni tuliyotoa?
 
Sawa tumekuelewa. Ila nakukumbusha kuwa ni asubuhi na wewe ndio unakumbuka kujifunika shuka si utaamka mchana?
 
Bado hujatudanya jipange tena chadema kwa unafiki na uzushi sijui mtaacha lini kwa tarifa yako watu kama wewe mko wengi ambao ni wanachadema halafu mnajifanya wanaccm pole sana na chama chenu cha ukoo.

Lakini aliyosema ni sahihi kabisa,sitaipenda ccm na watu wake milele
 
huyu simiyu yetu akili zake ni za makaratasi anajifanya amekunywa maji ya bendela. kila ccm wanachokisema yeye anasapoti. hata akiambiwa amuuwe babae anaweza. wewe unawadhifa gani ndani ya ccm? wa kuwazidi hawa makamanda kange lugola, Mh philipokunjombe, Mh Ester Bulaya.
 
Back
Top Bottom