Recent content by Nephrone95

  1. N

    JamiiForums Tanzania kiingereza hiki cha mtangazaji Kotinyo

    Uibomoi ndio nini Kiswahili TU kibovu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Lulu ajifungua mtoto wa kiume...

    Yaani!!!! Nimeumia jaman bado mdogo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Je, Warumi alijua kwamba atakufa?

    Kwani warumi kafa jamani Simjui lakini roho inaniuma sanaaa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Uandishi [uu] humetoka wapi?

    Nihende Mmenihelew Uhandishi Humetokeha Mm mpaka hapo nimechooka
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Bernard Membe

    Alikuwa anaandaa baraza la mawazir
  6. N

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia

    Kuna watu Wana vyeo vikubwa kichwani hamna kitu Vyeo vyenyeww vya siku hizi vya kujuana
  7. N

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia

    Nimesikia dk anasema wataita wanasayansi waipime chanjo mbele ya waandishi wa habari Sikutegemea dk aoongee ujinga kama huo Hv unaweza kuipima chanjo mbele ya waandishi Kwanza unapima nin? Halafu waandishi unawaambia umeona nin Kuna dawa nyingi TU tunazitumia zinaleta madhara baadae ya muda...
  8. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Sababu zinazochangia kuua elimu Tanzania

    Elimu ya TANZANIA Iko kinadharia sana Kiko vitendo Kupambana watoto wafaulu TU mtihani inachangia sana wizi wa mitihani
Back
Top Bottom