Recent content by neno ni upanga

  1. N

    JamiiForums Tanzania KERO Kukosa Fedha za Kujikimu Ajira Mpya Halmashauri ya URAMBO-TABORA kunapunguza morali yetu

    Mnapokea lakini mishahara??? Kama mnapokea mishahara ridhika hela ya kujikimu ni haki yako itakuja wakati usioutegemea mkuu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu alipofariki nilitambua maisha ni mafupi kuliko tunavyofikiri

    Ufunuo wa Yohana 14 13. Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu alipofariki nilitambua maisha ni mafupi kuliko tunavyofikiri

    Ufunuo wa Yohana 14 14. Kisha nikaona, na tazama, wingu jeupe, na juu ya wingu hilo ameketi mmoja, mfano wa Mwanadamu, mwenye taji ya dhahabu juu ya kichwa chake, na katika mkono wake mundu mkali.
  4. N

    JamiiForums Tanzania KERO UDH: Kwanini Baadhi Walilipwa Overtime, Sisi Tukaachwa?

    Pole sana! Jitie moyo ipo siku na wewe utaingia kwenye system
  5. N

    JamiiForums Tanzania AI Bora yenye uwezo wa kubadilisha maandishi ya Kiswahili kuwa Audio

    Mimi natafuta app ambayo inaweza kugeuza video ya kiingereza kuwa ya kiswahili! Kwa maana anayeongea kisikike kiswahili! Badala ya lugha yake
  6. N

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya michango tunayokumbana nayo Wazazi wa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mbagala Kuu

    Saiv maisha yamepanda hata mashuleni maisha yamepanda pia
  7. N

    JamiiForums Tanzania Iran yamnyonga Hossein Pedaran kwa ujasusi

    Wamefaidi nini??? Unamua binadamu mwenzako unafikri wewe utaishi milele ! Wanadamu kumbuka Kuna hukumu ya Mungu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi, alishawahi kufanya kazi Suma JKT

    +255622086485 msaidie mkuu bado ana uhitaji
  9. N

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi, alishawahi kufanya kazi Suma JKT

    Sawa mkuu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi, alishawahi kufanya kazi Suma JKT

    Kama upo tiyari mkuu nikupe namba yake
  11. N

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi, alishawahi kufanya kazi Suma JKT

    Ndio mkuu
  12. N

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi, alishawahi kufanya kazi Suma JKT

    Yupo tiyari mkuu msaidie
  13. N

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi, alishawahi kufanya kazi Suma JKT

    Habari wakuu bila shaka humu Kuna watu wa Aina mbalimbali naomba tumsaidie huyu dada anatafuta kazi!! Alikuwa anafanya kazi Suma JKT kutokana na matatizo ya nyumbani kwao mwanza aliacha! Kwa sasa anatafuta kazi yoyote ilimradi yenye kuheshimu utu wa mtu! Kama upo serious kumsaidia huyu dada...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bodi ya Mikopo dhidi ya Nicholaus Komba

    Sijakuelewa maanq maelezo mengi ila content hakuna! Sheria inasemaje?? Ni kiasi gani katapeli?? Maana hukumu imesema arejeshe 3000,000/= maanake hizo ndo pesa alizotapeli au??
Back
Top Bottom