Recent content by Neno nalo

  1. N

    Bajaji inauzwa!

    Bajaji mpya inauzwa.bado mpya na makaratasi yake.imetembea umbali wa go down hadi makazi yangu tu.In road licence na plate number.haina insurance. Kwa kifupi ni mpya kama inavyokuwa imetoka dukani. Aina ni tvs,rangi blue.Bei 6.2 M. For serious buyer only, call or text 0785 603 694
  2. N

    Bajaj mpya inauzwa, milioni 6 na laki 2

    Bajaji inauzwa aina ya TVS, Brand new, bado ina makaratasi. Ina plate number na road licence. Insurance haina, imetembea kutoka Go-down kufika kwenye makazi ya Mwenye nayo tu basi. Bei: Milioni 6 na laki 2..
  3. N

    Makombora kwa Forever Living Products (FLP)

    Hivi hata definition ya pyramid scheme waijua ndugu? Nasikitika u miongoni wa watanzania wale wale nnowasema.read books ndugu and do research.have basis on everything you speak.uspeak.utafika mbali sana.
  4. N

    Makombora kwa Forever Living Products (FLP)

    Hiyo ni per research ya nani? I know wengi waliogive up so many times na wakafanikiwa mbeleni. Ni devotion tu.
  5. N

    Makombora kwa Forever Living Products (FLP)

    Kila biashara is not for everyone. Ubaya wa hii ni mtu unaingia with hopes.the 95% ni wanaozamia pasipo kuifahamu kwa undani wake.humu humu JF kuna watu wamerukia kufuga na kuuza mayai ya kware wakaishia kupeperusha ndege warudi msituni. kila biashara si ya kuparamia
  6. N

    Tufahamishane bei za simu

    Je iphone 6 na xperia z3 ipi poa kwenye Internet? Na bei zao zikoje?
  7. N

    Makombora kwa Forever Living Products (FLP)

    Habari zenu! Kwa muda sasa nimeka nikagundua humu JF kuna tabia za kuigana sana.kuna hii biashara ya mtandao ya forever living kila ikitajwa humu imekuwa ikirushiwa makombora with a lot of negativity.initially Ilikuwa inatangazwa sana ila naona kwa trend hata wahusika nayo wakakata tamaa...
  8. N

    Nahitaji kununua Line M-pesa, Airtel money, na Tigo pesa

    Nicheki kwa namba 0785 60 36 94.ninayo tigo pesa.
  9. N

    Is a big loan worth it??

    Za muda huu watafutaji wenzangu. Mimi nina mambo machache naomba kujuzwa na kusaidiwa kupanua upeo. Kwa muda sasa nimekuwa na biashara yangu kichwani na kuiandalia business plan. I see myself soaring heights nayo na kabisa naona its an opportunity, ukiachia mbali kuwa ni hobby pia. Utata uko...
  10. N

    Is a big loan worth it?

    Za muda huu watafutaji wenzangu. Mimi nina mambo machache naomba kujuzwa na kusaidiwa kupanua upeo. Kwa muda sasa nimekuwa na biashara yangu kichwani na kuiandalia business plan. I see myself soaring heights nayo na kabisa naona its an opportunity, ukiachia mbali kuwa ni hobby pia. Utata uko...
  11. N

    Namuheshimu mama yangu lakini simpendi

    Ndugu mama ni binadamu kama binadamu wengine na anastahili kurekebishika.kuna msemo kwamba kids are the best judges to parents sababu pendo kwa mzazi lipogo siku zote so u can fairly judge a parent.Heshima yake kama mzazi mpe na kamwe usimdharau ila kosa ni kujikalia kimya. Siku mfungie safari...
  12. N

    Kuna dada zangu hata kupika hawajui siku hizi, tambueni mapishi ni kiungo muhimu kudumisha ndoa

    Yani thinking ya watu kadhaa inanifanya najiuliza sana..Kwahiyo mke kuchemka mapishi ndo na ushatafuta nyumba ndogo? Labda awe housewife peke yake ndo kidogo naweza kukubali...maisha haya ya mwanamke kwenda kazini arudi akupikie mwanaume ukiwa unaweka heshima bar au uko na mpenzi remote...
  13. N

    SPECIAL FEEDBACK: JF members niliowasajilia Business Names na Company Limited 2013-2014

    Mkuu mimi nipo mkoani na nataka kufungua duka la dawa.ila ndo sina tin number wala chochote.je utanisaidiaje?
  14. N

    Never underestimate the power of nyumba ndogo

    Hivi kumbe wanaume ni selfish eeh? At the same time wanaume hawataki tena kuoa housewives, wanataka working class women sababu wameshaona maisha yalivyo magumu, wanahutaji msaada wa malezi.hilo hawalioni kwamba ni failure kwao ila kutwa kutaka kupetiwa petiwa. Huyo huyo mwanamke atoke kazini...
Back
Top Bottom