big show, Suala la nssf liko kitaalam zaidi na c bla bla. ripoti ya cag imeainisha masuala kadha(rejea ripoti). hata hivyo ripoti ya cag litapelekwa bungeni hivyo vuteni subira. tusianze kulaumu magazeti ambayo yanafanya kazi yake ya kutuhabariaha la sivyo yatapelekwa mahakamani kwa upotoshaji...
kama kuwa na maprofesa ndio maendeleo hebu angalia maendeleo yetu na nchi zilizojuwa sawa nasi kisha toa maoni. ccm imefifisha maendeleo yetu hivyo hao ni maprofesa uchwara chumia tumbo hawana ubunifu.
Ni kweli kabisa usumbufu ni mkubwa. Kagame amushafuta kwake hiyo kitu. kila mtu asali ndani ya nyumba zao A ibada bila bughudha kwa wengine. bar pia wameshaambiwa waweke soundproof.
Makonda hana jipya ila nchi yetu haina mifumo ya utekelezaji wa kazi, alichofanya ilitakiwa iwe ni sera ya elimu na sio kila mtu aibuke na masuala yake binafsi ili kupata umaarufu wa kisiasa. ili kuwa waalimu walipwe posho ya nauli. Watz tutafakari. tusichukue vitu kama dodoki
Jk kurudi "mawee" hana uwezo, dhaifu na legelege! sasa hivi hatutachagua kuangalia kupokezana kwa dini. sasa hivi ni uwezo tuuu! mwinyi bure jk bure. haturudii tena
Kikwete kashindwa nchi. hana uwezo wala maarifa alitaka tuu Urais. huyo Dau hiyo miradi yote ilikuea dili na Jk ulifuatilia madeni ya NSsf utashangaa. bila kuwa dini yake hupati ajira nssf.
bravo alex. umesema kitu kizuri na cha ukweli kabisa. ni kazi ya rais kufanyia kazi. kutaja lowassa saahii haisaidii dili imeshapita. tutizame ya sasa kitaifa. jose kamalizwa na wachezaji na huwenda abromovich ndio alikuwa amemchoka akatumia njia husiku kummaliza kimya kimya. jpm watch out...
watu wenye fedha nje ya nchi watz kibao. hasa wa serikalini. mbowe ni chamtoto. ukianza na mbowe mambo yatapasuka hivyo wakubwa nao wanaogopa jipu kubasuliwa. mbowe itakuwa ni kanuni zitambana ila viongozi wastahafu na hasa waccm ndio wengi tena ni za kifisadi na rushwa. ndulu hauwezi musik wake.
sio kweli. kukatwa kwa Lowassa kwenye kamati kuu na kikwete ndio kimeiponyesha ccm. kwa maana kikwete alimtaka Membe ila nguvu ya Lowassa ikafanya nae atolewe jivyo Magufuli kupitishwa na kundi la Lowassa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.