Mie nimepoteza baadhi ya marafiki sababu tu mda waliotaka mchango namie nilikuwa na changamoto zangu, lakini mtu hakuelewi anadai kama alikukopesha naishia kuwachunia tu
Kisheria hii imekaaje.
Mtu ana bodaboda ametoa kwa mkataba, ikatokea pikpik imeibiwa na aloibiwa sio huyo alokabidhiwa kwa mkataba ni mtu wa pili.
Polisi wakafungua kesi ya jinai ambapo mtuhumiwa akawa huyo mtu wa pili ambaye hana mkataba na mmiliki.
Sasa je ni vip huyu mmiliki anaweza pata...
Habarini wana jamvi,
Nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne na kwa masomo ya science kafaulu kwa wastani wa C.
Je, ni course gani nzuri anaweza kusoma ambayo uhitaji wake ni mkubwa kwa sasa?
Hello, natumai wote ni wazima.
Naomba msaada kwenye mkataba imeandikwa mwajiriwa atalipwa mshahara wa siku kumi kwa mwaka mzima kama kiinua mgongo baada ya kumaliza mkataba. Hii ina maana ipi?
Ni siku kumi za kila mwezi au siku kumi kati ya siku 365? Mfano mtu aliye na mshahara wa laki3 kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.