Leo ni siku ya 3 hakuna maji katika maeneo ya kata ya Rwamishenye na BUWASA wamekaa kimya kana kwamba hapo ofisini hakuna wahusika kitu kinachosababisha usumbufu mkubwa kwa raia, kwa maana dumu moja la maji mpaka leo linauzwa kwa Tsh: 1,000/= jaribu kufikiri kwa mtu mwenye familia ya watu 10...
Kitaalum aina yoyote ya mchezo wa kamari unapoucheza kwa muda mrefu na ikiwa ndo kipaumbele chako kwa kila sekunde, saa, siku, wiki, mwezi, miezi, mwaka n.k tayari unakuwa umeathirika na unakuwa tegemezi wa kamari, hapo ndo mtu tunasema amekuwa na "GAMBLING ADDICTION" na inatibiwa kama aina ya...
Hi, wanajamvi! Binafsi namshukuru Mike Mushi katika kipindi cha Mkasi EATV hiyo jana, alieleza kwa undani malengo ya JamiiForums tofauti na watu wengi wanavyoichukulia na kuona washiriki wanaotuma post mbalimbali hapa ni Wapinzani wa Serikali.
Cha msingi alichoongelea ni kwamba angalia Uhalisia...
Hi, wanajamvi kumekuwepo matumizi ya pombe (alcohol) na dawa za kulevya (illicit drugs) kwa muda mrefu hapa duniani kiasi kwamba imefikia hatua ambapo mtu kama ushiriki au kutumia vitu vivyo unaonekana kama haujakamilika, lakini hakuna asiyejua madhara ya vitu hivyo.
Napenda kuwaasa watumiaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.