Recent content by neisa

  1. neisa

    JamiiForums Tanzania Congratulations To Simba Sports Club..

    Congrats, The Big Lion!
  2. neisa

    JamiiForums Tanzania Congratulations To Simba Sports Club..

    Una ota za mchana wewe.
  3. neisa

    JamiiForums Tanzania Mhe rais Wangu mwagilia Mkopo Kwa wote vyuo vikuu hii ni keki ya watanzania wote

    Shule binafsi hazifundishi tabia mbaya. Rekebisha kauli hii ttafadhali sana.
  4. neisa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati mwingine wanaume tunaoa majini tunategemea tutaishi nayo kwa furaha." Mchuma janga.."

    Mkorogo ukishakolea mwanamme haambiliki! Acha aendelee kusota hapo kifungoni. Fundisho kwa wengine.
  5. neisa

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuchaguliwa PCB ikiwa nina D ya Chemistry?

    Kama wewe ni ke.
  6. neisa

    JamiiForums Tanzania Mei mosi: Sina imani tena na vyama vya wafanyakazi

    Kwa vipi?
  7. neisa

    JamiiForums Tanzania Mh, Rais: Uhamisho wa Walimu sekondari kwenda Msingi ni janga, ingilia kati.

    Malalamiko ya nini chapeni kazi, kama huwezi kusanya virago.
  8. neisa

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mtu mwenye stashahada kumuongoza mtu wenye shahada akiwa kama bosi wake?

    Hapo sawa kabisaaaaa, hilo ndilo jibu kamili. Experience matters a lot. Kama ndivyo hao wenye diploma huko maofisini si wangeondolewa waajiriwe hao wenye madegree yao huko mitaani? Kazana kusoma na uwe na uvumilivu wa kupata cheo. Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
  9. neisa

    JamiiForums Tanzania Watendaji ofisi za Serikali za mtaa mpaka saa nne hajaingia ofisini

    Kawaida yao, sio hapo tu. Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
  10. neisa

    JamiiForums Tanzania Kumwalika mwananchi aje kwenye hafla saa tatu asubuhi halafu kiongozi unakuja saa saba huu ni unyanyasaji kwa raia

    Sio kwenye uzinduzi tu, hata vikao mbalimbali. Wananchi zaidi ya 200 wameacha shughuli zao wanamsubiri mtu mmoja ambaye analimalizia shughuli zake ndio aje. Kweli "There is no hurry in......" kwa mtaji huu hatutakaa tuendelee! Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
  11. neisa

    JamiiForums Tanzania Watumshi wenye elimu ya darasa la saba waondolewa rasmi katika utumishi wa umma

    Kweli kabisa! Watanzania tunaishi kwa hofu tu hasa watumishi wa umma, maana likitoka hili linakuja lingine ,unaponea unamshukuru mola. Mara hujaa kaa sawa linakuja jingine...Tutapona kweli? Kuna SIRI nzito! Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
  12. neisa

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe amshukia Diamond. Asema umarufu utamgharimu, hawezi bishana na Shonza na atapotea kubishana na Serikali

    Fedha zipi hizo? Zitapukutika atarudi Tandale kupiga debe. Achunge mdomo wake. Hata kama ni mbeleko itachakaa tu utaanguka.. Chunga Dai.
  13. neisa

    JamiiForums Tanzania Diamond arudisha dongo lingine kwa Naibu waziri wa Sanaa Juliana Shonza

    Dogo achunge mdomo wake. Atapimwa mkojo hivi punde.
  14. neisa

    JamiiForums Tanzania MISRI: Al Masry 0 - 0 Simba SC! Simba ametolewa katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika

    Waarabu wametunyima raha ya kuona mpira. Hivi Misri iko Afrika kweli? OAU? CAF? Huu si uungwana.
Back
Top Bottom