Nashukuru mkuu nimefanikiwa kutatu a kumbe shida ulikuwepo kwenye mother board maji yaliindia sehemu moja yakatengeneza kutu na kukuhusu nyaya ziungane
Yaani hiyo nimeipenda maana vijana wengi wakiwa kanisani wanakuwa watakatifu wakitoka kanisani wanakuwa watakafujo na mingine inaimba na kwaya hapo hapo madhabahuni yanapanga kwenda kukutana kwenye magheto yao ........ Yaani yamegeuza kanisa kuwa chumba Cha kutunzia Siri za uzinzi wao ...
Kwa hiyo Sasa nafanyaje ili kulekebisha maana mpaka Sasa haiwaki taa hapa mbele ila inawaka taa ya ndani tu na mbaya zaizi ninakazi za watu za kuchora michoro ya Ramani
Hapana hai blinking yaani hata taa haiwaki ila ukichomeka waya wa power cable inazungusha feni ya mbele halafu inazima na taa ya ndani ya computer kwenye mother board inawaka ila haizungushi feni
Computer yangu aina hp desktop haiwaki imeanza juzi ilikuwa inawaka na kujizima hapo hapo jana nikaiwasha ikawa inaonekana elimewaka lakini hai display chochote kwenye monitor na pia feni ya kwenye power supply haizunguki na nimejalibu kutest power supply nyingine bado inafanya hivyo hivyo...
Habari zenu jamani?
Naombeni msaada, mambo sio mazuri kwa upande wangu.
Mimi pia PC yangu niliiacha ndani ya siku tatu bila kuiwasha lakini jana nilipo iwasha iliwaka alafu ikazima ikakata sekunde chache feni zikaanza kuzunguka kwa kasi nimejalibu kuifuta futa vumbi, baada ya kuifuta futa vumbi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.