Recent content by NEEZY

  1. NEEZY

    JamiiForums Tanzania Calculator ya Tume VS Calculator ya Acacia

    Wala siyo majizi serikali iliyopo pita na iliyopo xaxa pamoja na viongoz wake ndiyo waliingia mikataba mibovu ya kihuni xaxa mnawakaumu wawekezaji wakati mliwafuata na kuwa bembeleza waje wawekeze unadhani sheria zilivyokuwa mbovu hapa Tanzania ndivyo zilivyo nchi zote ? Au huwa unashangilia ma...
  2. NEEZY

    JamiiForums Tanzania Zitto, Ndege sio keki, itengenezwe asubuhi na mchana iliwe!

    Mnachotetea nn hapo mmeuwona huo mkataba wa hizo ndege
  3. NEEZY

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Namsubiri Maalim Seif aje ofisini nimpangie majukumu yake

    Sefu ataona aibu
  4. NEEZY

    JamiiForums Tanzania CV ya Prof. Ibrahim Lipumba, msomi, mtumishi aliyetukuka na mwanasiasa mvumilivu

    Towa vigezo au sheria ya kutenguwa u prof wa lipumba
  5. NEEZY

    JamiiForums Tanzania CV ya Prof. Ibrahim Lipumba, msomi, mtumishi aliyetukuka na mwanasiasa mvumilivu

    Na hauwez kuwa kwan hujui michango ya wasomi wa nchi hii wamefanya nn japo wana nyanyasika
  6. NEEZY

    JamiiForums Tanzania CV ya Prof. Ibrahim Lipumba, msomi, mtumishi aliyetukuka na mwanasiasa mvumilivu

    Nikweli nibora ushauriwe na mbulula mwenzio
  7. NEEZY

    JamiiForums Tanzania Narudia tena kukwambia Maalim Seif

    Embu wape elimu hao maana kiukweli chadema imepoteza sifa na Sera mm nikija na watanzania nilikuwa navutiwa na Sera za upinzani naninaimani upinzani umesaidia mambo mengi katika jamii yetu tatizo kubwa xana limeikumba siasa za Tanzania ni tamaa ya pesa na madaraka ukiwa na pesa utawaaminisha...
  8. NEEZY

    JamiiForums Tanzania Narudia tena kukwambia Maalim Seif

    Msalit unamfahamu acha mambo ya mkumbo
  9. NEEZY

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Ujinga
  10. NEEZY

    JamiiForums Tanzania CV ya Prof. Ibrahim Lipumba, msomi, mtumishi aliyetukuka na mwanasiasa mvumilivu

    Kada ni lowasa na genge lake akina maalim sefu anadhania bara unaweza kufanya atakacho kama zanzinar
  11. NEEZY

    JamiiForums Tanzania CV ya Prof. Ibrahim Lipumba, msomi, mtumishi aliyetukuka na mwanasiasa mvumilivu

    Nimependa xana yan huyo lowasa na kibaraka wa chadem ati maalim sefu sitaki hata kuwasikia kiujumla
Back
Top Bottom