Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Nimeona Mh Zitto Kabwe akiendeleza vijineno juu ya ndege mpya inayotengenezwa na kampuni ya Boeing. Mara ooh sasa kaja na mpya eti ndege ni ya mwaka 2009!
Yani huyu braza bado ana fikra za mgando au sijui ndio chuki binafsi. Yani analinganisha utenenezaji wa ndege kama vile kuoka keki yani keki inatengenezwa asubuhi na jioni inaliwa kwenye birth day part.
Kampuni ya China ya kutengeneza ndege za kibiashara Comac juzi walizindua ndege ambayo ujenzi wake ulianza miaka kumi iliyopita. Je ndege hiyo iliyoanza kutengenezwa mwaka 2007 na kuzinduliwa juzi sio mpya?
Rais mwenyewe wa Marekani anatembelea ndege iliyotengenezwa miaka thelasini iliyopita, hapo unazungumzia miaka ya themanini lakini ndege ile bado ni bora kuliko ndege nyingi.
Kwa msururu wa order za ndege mpya zilizoko kiwandani Boeing, leo hii ukiweka oda ya kutengenezewa ndege, utaambiwa uje uichukue miaka mitano baadaye, kwa kuwa kuna wateja zaidi ya elfu moja kwenye order book ya kiwanda so sio kwamba utaweka oda leo alafu kesho uje kuichukua. Hivi ni vitu vya kumuelewesha mbunge wetu machachari ndg Zitto.
Ninawaomba mumchukue Zito mkampeleke akutane na mogul wa airline industries wammpe somo juu ya life cycle ya ndege...