huu ndo ujinga na ulewa finyu. Ikumbukwe mbeya ndio iliyozaa itinga na rukwa na bado ni kubwa sana. Sasa mtu unapoyumia akili za antena ndo unaona ni ufisadi. Mi binafsi namshukuru Mh JK kuliona hilo na kutusaidia wana mbeya.
rafiki hata halmashauri iwe na viongozi wengi wa upinzani ilani ni ya chama kinachoongoza serikali.so hakuna jipya ambalo watafanya zaidi ya kusimamia vyema ilani hiyohiyo ya CCM
jking katika vipofu na matahira na vihiyo nawe pia unaongoza . Mtu mwenye akili timamu na si mjinga mjinga kama mkwawa na wewe hii haiwezi kua hoja ya kujidai. Ni wazi unajua hamna anachofanya sugu zaidi ya kurukaruka tu. Plz kwa heshima ya wanambeya hoja zisizo na mashiko kumsifu mpuuzi wenu...
Mtoa mada sikupi heko wala nini! We mtu gani mgongano wa mawazo uone sehemu ya kupandia. Halafu naona unakigumumizi cha kufikiri na kuombea mabaya ccm tu. Mara ngapi chadema wamepishana kimtazamo na hisia hadharni na msiiweke kama hoja hapa ukumbini. Acheni unafiki na upotoshaji kwa jamii...
Kwa kweli nionacho mimi eneo la jamii forum limegeuka uwanja wa propaganda ya chadema. But it is un fair ukimlinganisha mbunge wa chadema na kumu au thelathini wa ccm. ccm ina watu vichwa ambao ni wengi pia ila mfumo na mambo ya kiharakati ndo yanaibeba chadema. Hebu nionyeshe sugu potentility...
kwangu mi chadema inanishangaza na kunifanya niione kituko kwa mambo yake, yenyewe imekua bingwa wa kusajiri waru walkiokataliwa na vyama vingine bila kuwachunguza na kuwapa nafasi ya kugombea uongozi leo wanajidai kutimua baadhi ya watu bila utafiti wa kutosha zaidi ya kutumia umbea na majungu...
Jamii forum ni sehemu huru ya kutoa mawazo binafsi lakini mmh! Imegeuka sehemu ya matusi, kashifa, fitina na majungu. Mtu anaongea chochote anachojisikia hata kama haina ukweli, na hii sio njema kumdhalilisha mtu ni kukiuka haki yake. Kila mtu anahitaji heshima, kuna mambo ya public lakini pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.