Recent content by Neema5

  1. N

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Nataka kwenda Canada kimatembezi ila nikifika huko nataka kujilipua. Kama kuna mtu anajua jinsi ya kujilipua Canada naomba muongo tafadhali!
  2. N

    Nauza biashara yangu Tabata Segerea, fremu imelipiwa mwaka mmoja

    Fremu ipo sehemu nzuri, Ila bei kubwa saba. Milioni 6 nakupa kama utauza.
  3. N

    Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

    Watoto wa kike wana wazazi wao wengine, labda huyo wa kiume. Hivi Kwani hawana ndugu hadi mashoga kulea watoto?
  4. N

    Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

    Tena huyu Shamimu alikuwa na mumewe wa kwanza very humble, tamaa mbaya sana. Alimkimbia mumewe kwa tamaa na kuolewa na muuza madawa. Tena aliambiwa mapema sana kwamba huyo Abdul ni muuza madawa, Ila akajifanya hasikii. Leo kiko wapi, jela maisha duh hatari sana.
  5. N

    Maswali magumu: Utetezi wa Jakaya Kikwete dhidi ya tuhuma za chuki binafsi dhidi ya Hayati Magufuli msibani

    Magu alikuwa mtata sana, kwa utata wake nahisi ni yeye mwenyewe alikataza viongozi wengine kusema kwamba anaumwa.
  6. N

    Yaliyojiri Dodoma: Shughuli ya Kitaifa ya kumuaga Hayati John Magufuli

    Marehemu Kumbe alikuwa na watoto saba, alijitahidi.
  7. N

    Car4Sale 2005 Toyota IST inauzwa

    Nahitaji hii gari.
  8. N

    Tanzanians abroad send home Sh. 1 trillion yearly

    Sasa mtoe dual citizenship sasa
  9. N

    Dickson Kibona: Madam Joyce Mwombe Msamaha Mmeo!!

    Ila kweli uso unaonekana kazeeka, haswa akiwa hana make up utasema siyo yeye. Inabidi awe anavaa makeup hata akifanya Yale mazoezi yake.
  10. N

    Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

    Kwa vyuma hivi vilivyokaza, bora kubeba box.
  11. N

    Faiza Ally sasa ahamishia shambulio kwa mke wa Mh.Sugu

    Makubwa, kumbe huyo mke wa Sugu alikuwa na ndoa before. Mie nilifikiri kabinti bado, kumbe kakomaa. Social media hizi hatareee, na utakuta ana mtoto si Kama watoto.
  12. N

    Wanawake wa Tanzania ni Wazuri, ila Elizabeth Michael Lulu ni Mrembo kuliko wote nchini

    Uzuri wa mwanamke ni pale wakati Hana makeup, tupia picha akiwa hajapaka makeups.
  13. N

    Millen Magese (Happiness Magese) apata mtoto

    Hongera zake Millen, kupata mtoto kwa njia ya test tube si rahisi Kuna wengi walikata tamaa ila wewe imani yako imekupa mtoto.
  14. N

    Kuna under 30 anayemiliki gari na nyumba?

    Inawezekana kabisa, fanya kazi kwa bidii na ujue kuweka saving. Nilikuwa 28 na kumiliki gari na nyumba na baraka ya mtoto.
Back
Top Bottom