Augustino Ramadhani
Profile:
Nimezaliwa Desemba 28, mwaka 1945 Zanzibar mjini nikiwa ni mtoto wa pili kati ya watoto wanane, wa kike wanne na wanaume wanne. Ni Mkristo wa dhehebu la Anglikana.
Nimesoma shule mbalimbali za msingi Mpwapwa mkoani Dodoma 1952 -1953 nikaenda Town School-Tabora...
kila biashara lazima ukaze msuli. huko forevet si mtelemko ko ivo mpk uhangaike sana. kwanza kiingilio ni sh 800000. upo hapon na ili upate bonus lazma kila mwezi ununue kitu. mpk ufike ngaz ya juu sana ndipo unaingiziwa bonus ht usiponunua. kazi sana. pia ukishatoa kiingilio utafute watu wanne...
ikiingia ebola sijui atakata na vya miguuni. mila jamani. ndiyo maana tunasema kuna zisofaa. kazi ya kizazi hiki iwe elimu tu wenzangu ili kizazi kijacho kiwe tayari kimekuwa transformed. maana hii siyo changes ni transformation hat tusipoyaona mabadiliko yatatokea kwa vizazi vijavyo na yatakuwa...
wanasema kioo cha jamii. kuna kioo hapo kweli. labda wa mjini mjiangalie lakini kwa mimi wa dodoma vijijni inaniboa tu. ila yule alosema biashara wadhamini mapato ili kulipa kodi labda. ila naona ni maendeleo ya kuiga wenzetu. kuna kipindi cha wale kadashans wanaonyesha wanavyokwenda kutalii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.