Recent content by Neelam35

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa daktari bingwa

    Hapana finance2014
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa daktari bingwa

    Shukrani sana wote kwa msaada wa mawazo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa daktari bingwa

    Nilishaenda aga khan nikfanya ultra sound, ct scan wakasema hamna tatizo, regency the same hamna tatizo, Ami niliend Feb nikaambiw infection tumbon nikapata dawa na sindano tatizo likaisha but now naona limerudi. @Aspirin
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa daktari bingwa

    Salaam zenu wana JF, msaada wa daktari bingwa nina tatzo la tumbo kujaa gas, linakuwa km linavimba but linauma upande wa kulia chini ya mbavu. Maumivu haya yanaenda had kiunoni upande huo huo, mkononi na pia had kwenye paja. Msaada ni daktari gani napaswa kumuona? Nitashukuru kwa msaada wenu...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Taarifa kuhusu Unibecks Dar

    Habari wadau. Naomba niwaulize jaman kuna yeyote anajua kampuni hyo ina deal na nini? Niliapply kazi sasa leo nimepokea sms ikitaka nitume 45 elfu ili nipate kazi. Na mshahara wa kwanza nitatoa laki4 nimpe huyo alotuma sms. Jaman hapa si ndo nataka kuibiwa ? Maana kwa style hii wenzangu wangapi...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Je, trafiki anaruhusiwa kukunyang'anya leseni?

    Mi kuna mmoja alinidaka nkampa buku 5 akakataa, nilikuwa na US$ kwenye wallet nkamwambia chukua hii bas akaichukua haraka kumbe ilikuwa ni US $1😆😆😆😆
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mafuta Petrol Stations

    Magari yanatofautiana, Allex
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mafuta Petrol Stations

    Haaa hii oilcom ya opposite na uchumi Segerea ni komesha. Gari yangu full tank ni elfu 60 niliwapa 40,wakaanzia 0.0 but huwez amini mshale haukupanda ukaishia robo tank. Normally huwa naweka lake oil sanene ya elfu 30 mshale unapanda had nusu tank!! Yaan hawa oil com wanamchezo mchafu na sirudi...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Call Center ISON & Erolink

    Ison nenda quality Centre na cv yako. Ofisi zao zipo first floor mkabala na ngazi za umeme kushoto utaona kibango chao.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitendo vya ubakaji ni vingi sana India?

    Kuna muhindi mmoja nilishawahi kumuuliza hilo swali, akaniambia kwao wanaume ni wengi kuliko wanawake. Sasa sijui nn kinachochea ubakaji
  11. N

    JamiiForums Tanzania Faida Za Kiafya Zipatikanazo Kwa Kutumia Mayai Ya Ndege Kware

    Unayanywa ? Yaan unavunja na kula bila kupikwa?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Dawa zilizofutiwa usajili na TFDA kwa matumizi ya binadamu

    Mkuu nina shida na ww. Nimekucheck whatsapp kwenye namba inayoanzia +90 . Je ipo active au kuna namba ingine unatumia? #MziziMkavu
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mtoto kuanza kuota meno ya juu kuna shida yeyote kiafya?

    Mkuu mie mwenyewe nimeota hayo ya juu na Leo nina 29 na Wazazi wangu wapo
  14. N

    JamiiForums Tanzania Nimuone Doctor gani mzuri? Kitengo gani kinaitwa?

    Thanks, nishaku pm mkuu
  15. N

    JamiiForums Tanzania Nimuone Doctor gani mzuri? Kitengo gani kinaitwa?

    Ahsante mkuu. Be blessed
Back
Top Bottom