Recent content by Nedroma

  1. Nedroma

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nafasi za ukufunzi vyuo vikuu kuanzia level ya Assistant Lecturer mara nyingi kunakuwa na oral peke yake.
  2. Nedroma

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwa experience yangu vyuoni ni kuandika sio kwenye mfumo
  3. Nedroma

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Uhakiki utaendelea, hapo sio mwisho wake, kama GPA haijafika itakuletea shida
  4. Nedroma

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nina rafiki yangu anafanya kazi chombo fulani cha habari, aliniambia kuna watu wana kigugumizi na wanasoma taarifa ya habari vizuri tu na huwezi kujua kama wana hiyo changamoto, kafanye interview mkuu ukipita kuna training hadi uive, goodluck.
  5. Nedroma

    Msaada: Biashara ya perfume za kupima

    Mafuta (essential oils) yanapatikana nchi mbalimbali mfano France, Italy, China, Dubai, Uturuki nk, ila kwa experience yangu ya zaidi ya miaka 7 quality oils zinapatikana France, supplier ninaowasiliana nao huko France wanasema oils za Dubai huwa wanachukua viwandani huko France. Changamoto ya...
  6. Nedroma

    Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Nyumba ninayoishi nikitaka kuwasha taa za nje upande wa mbele, taa za nyuma, sebuleni na kwenye corridor zote zina socket yake na hazipo sehemu moja kitu ambacho kinaleta usumbufu sana[emoji23][emoji23][emoji23]
  7. Nedroma

    Ninaomba kujuzwa

    Unaweza kuchelewa kazini masaa wawili au uwahi kutoka masaa mawili kabla, unachagua mwenyewe kipi bora kwako.
  8. Nedroma

    Kuhama kada na taasisi

    Ukiamua kuhama mwenyewe itabidi ukubaliane na mshahara wa taasisi unayohamia hata kama upo chini ya taasisi unayofanyia kazi sasa hivi, ukiamishwa mshahara wako wa unapotokea utabaki vilevile hata kama taasisi unayopelekwa mshahara wake ni mdogo.
  9. Nedroma

    Dawa ya mba

    It was a compliment to my part..we are all good guys[emoji4] Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  10. Nedroma

    Dawa ya mba

    Asante kiongozi Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  11. Nedroma

    Dawa ya mba

    Shukran mkuu Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  12. Nedroma

    Dawa ya mba

    Shukran mkuu Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  13. Nedroma

    Dawa ya mba

    Kwann ni ugonjwa wa kizamani? Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  14. Nedroma

    Dawa ya mba

    Shukran mkuu Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  15. Nedroma

    Dawa ya mba

    Za vidonge na ya kupaka nimeisahau jina lake Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom